Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Ni vizur kupima kabla ya mahusiano ila mnaweza mkapima leo ila mwenzio hasa wanaume ana michepuko kama mitano madai yao wanaume kuchepuka ni kawaidaa jaman wanaume embu vitulizeni hvyo vfirimbi vyenu muwe na hofu na mungu
 
kwa my experience wanawake nyie ndo mna tatzo
wanawake weng hawapend sex kwa kutumia mipira wanalalamika inawaumiza(hapa nsha hairisha game kama 3)

wengne anakupa anakuuliza una condom?? ukimjib no anakwambia jitahidi usimwagie ndan (hawa pia nimekutana nao weng wanaogopa mimba kuliko ukimwi) na hata baada ya kumwagia wanabaki wanacheka cheka (kwamba hata mimba yenyewe ni danganya toto)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke pekee anaekulazimisha kuvaa condom ni malaya wanaojiuza. Hawa dada zangu wa mtaani uvae usivae shauri lako. Me huwa naangalia na demu wengine navaa wengine sivai maana mi ndo mpangaji
Wanawake wanaojiuza asilimia kubwa wapo safe. Hata wanunuaji huchukua tahadhari.
 
Mbona wanawake mnajitoa kwenye swala la kutumia condom? Nyie mna condom zenu lakini hamzinunui kwa wingi mnabaki kuhamasisha wanaume wanunue na wavae

-mikononyuma-
Zinawasha. Matumbo yanajaa gas
 
Abstain
Be Faithful
Condomise.
One husband one woman.
Usicheze rafu.
 
6a59f95ff127b29ee2cd92973e4cc2a1.jpg
 
UKIMWI haukwepeki kwa njia hii mkuu dawa ni kupima tuu na mwenzi hii inapunguza chances kwa asilimia kadhaa sio zote maana mkiwa ndani ya uhusiano pia unaweza ukaletewa UKIMWI huwezi kuendesha kampeni za kuzuia ukimwi kwa kuwaambia watu waache ngono wakati unajua kabisa kuwa ni mambo ambayo haiwezekani
Baki njia Kuu+ kila MTU abaki njia kuu.
 
Back
Top Bottom