Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Jaman huyu shetani naye mumuoneeni huruma ,ujue naye alikua malaika mwema cheeeee !! Yaan wewe ni mtu mzm ufanye kosa alafu umsingizie shetan ??? Are you serious ???
MTU mzm niyule anayefaulu kuungoza mwili wake ,MTU mzm hufaulu kutawala tamaa za mwili wake ...... Huyu shetan hapo hayupo, shetan niww mwenyewe .

Alafu miss ,, ujue kuvaa kondom sio njia pekee ya kuzuia maambukizi ???? How come uvae kondom wakati umemnyonya uume na mdomon unavidonda ??? Amekulamba uke nayeye ulimi unavidonda ???? Kakunyonya maziwa na en either wee ndo + ????? He insert finger ndan yako akat kidole chake kilikua na mchubuko ??? Jaman Mnanyonyana ndimi chaaaaaaa????? Alafu still unaona kondom kama njia sahihi ?????.

Aisee Kwa ufupi ,,msifanye hilo kosa both couples.

Pimen then Mcheze game !!!. Simple and clear .... Sio uvae kondom huku midomo mnanyonyana naww umemkokolesha lakwanza Kwa kutumia mdomo.

Pima Pima Pima Pima ,,, kuna watu kazi yao hapa bongo nikuua wenzao tu wasokua na hatia alafu hata kwenye mazishi yako bado hawaji !!.

Pima Pima Pima .
 
Matatizo yanakuja pale unapojinafasi na take away kwa mikono kama home cooked meal.
 
ahaha eti kwenye mazishi hawaji.hata rambirambi hawatoi mkuu.kweli muhimu ni kupima ila at least hamjapima mvae hizo condom basi
 
wanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima

Mbona wanawake mnajitoa kwenye swala la kutumia condom? Nyie mna condom zenu lakini hamzinunui kwa wingi mnabaki kuhamasisha wanaume wanunue na wavae

-mikononyuma-
 
Wanajisahaulishaga sana hawa viumbe,.mm nilikuwa natembea nazo kwa bag tukikutana namuuliza vipi unazo?? Akianza sababu zake namwambia uckonde mtoto wa kiume hizi hapa kibwenaaa ushindwe ww hahaahaha wengine wananuna etiii
unanunuaje condom shosti? papuchi ujilipue kutoa na mpira ukanunue?
 
ahaha eti kwenye mazishi hawaji.hata rambirambi hawatoi mkuu.kweli muhimu ni kupima ila at least hamjapima mvae hizo condom basi
Sure kupima ndo kilichobaki ,, hata km uvae condom Basi make sure hujichanganyi nanjia nyingine ..otherwise Luna msanii aliimba """ Sijui nivipi nmeupata ?? Aka kwenye ajali nloipata ??? Au saluni kwenye kunyoa ??au kwenye kuongezea dam ?? Nabado jibu HAKUPATA checheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
wanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima
HIV ndio nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mastubation si nzuri rafiki. Inakomaza papuchi na kukuathiri kisaikolojia. Effects zake utaanza kuziona utakapo ingia rasmi kwenye mahusiano ya kimapenzi.
haikomazi bna mbona papuchi yangu imenona hivi
 
hao wanaume ukimwi wanapata wapi au tunaambukizana wenyewe kwa wenyewe??

kwani kondomu za kike hakuna ?
aisee.

how%20to%20use%20female%20condom.png
 
wanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima
kwa aarifa yako kuna condm za kike na ni bureeeeeeeee
how%20to%20use%20female%20condom.png
 
Back
Top Bottom