wanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima