Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Mbona ninavyofahamu mimi ni kwamba ili mtu upate maambukizi ni lazima mchubuko utokee kwa washiriki wote (yaani kuwe na blood contact) kwani virusi havikai kwenye makinikia bali kwenye damu.
Mkuu virusi wanaishi pia ktk makinikia tuseme ktk fluids aina zote zilizopo ktk mwili wa binadamu
 
14 ni wachache mdogo wangu ungefikisha hata idadi ya mikoa ya Tanzania, hapo atlist kila mkoa ungekuwa umewakilishwa. Nakushauri uanze utafiti upya, usinisahau kwenye sampo tafadhali
 
Back
Top Bottom