Hii issue ya maambukizi ya UKIMWI ni ngumu kidogo. Kwanza ningeshauri tu kuwa si wanaume pekee wanaoendekeza ngono bali ni wote Me na Ke kwa mantiki kwamba ili tendo hilo lifanyike lazima kuwe na makubaliano, kusipokuweko na na maridhiano basi hiyo inakuwa kesi ya ubakaji.
Takwimu zetu za 2015 zipo hivi:
- Number of people living with HIV
- 1 400 000 [1 200 000 - 1 600 000]
- Adults aged 15 to 49 prevalence rate
- 4.7% [4.2% - 5.3%]
- Adults aged 15 and over living with HIV
- 1 300 000 [1 200 000 - 1 500 000]
- Women aged 15 and over living with HIV
- 780 000 [700 000 - 870 000]
- Children aged 0 to 14 living with HIV
- 91 000 [77 000 - 110 000]
- Deaths due to AIDS
- 36 000 [29 000 - 42 000]
- Orphans due to AIDS aged 0 to 17
- 790 000 [700 000 - 880 000
- Kinamama walioathirika ni 780,000 ikimaanisha wanaume waathirika ni 520,000 kwa hesabu hizi hapo ni nani anayemwambukiza mwenzake? Kama una kundi kubwa la wanawake wenye maambukizi, basi wanaume ndio walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa.