Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Swahiba yule jamaa uliempata hapa JF juzijuzi huwa anapenda kutumia kinga kweli?
 
Pole sana...
Inabidi uwe mkali usiwachekee wanoataka kukunanilii bila hiyo kitu...

Cc: mahondaw
 
Maumbile ya mwanamke ukimwagiwa makinikia yenye maambukizi una nafasi kubwa ya kuupata
Mbona ninavyofahamu mimi ni kwamba ili mtu upate maambukizi ni lazima mchubuko utokee kwa washiriki wote (yaani kuwe na blood contact) kwani virusi havikai kwenye makinikia bali kwenye damu.
 
Mbona ninavyofahamu mimi ni kwamba ili mtu upate maambukizi ni lazima mchubuko utokee kwa washiriki wote (yaani kuwe na blood contact) kwani virusi havikai kwenye makinikia bali kwenye damu.
Mkuu kwa mtu + makinikia ni body fluids zitakuwa na virusi tena katika % ya juu kuliko mate
 
Wanawake wengi wanaambukizwa HIV na wanaume wachache kwa sababu hawajui kukataa na wanadanganyika kwa vitu vidogovidogo. Mkizilinda papuchi zenu mtaambukizwa VP?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri mfike kituo cha afya kwa ushauri zaidi maana hivyo vipimo vya trial and error haviko accurate kivile maana unaweza ukapima ukaona huna kumbe unao au unao kumbe huna kwahiyo ni vizuri kuwaona wataalam
not bad idear!!!!.🙄
 
Back
Top Bottom