Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

wanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima
Ule utelezi ule si mchezo unakumbuka soksi baada ya mchezo.
 
Wanajisahaulishaga sana hawa viumbe,.mm nilikuwa natembea nazo kwa bag tukikutana namuuliza vipi unazo?? Akianza sababu zake namwambia uckonde mtoto wa kiume hizi hapa kibwenaaa ushindwe ww hahaahaha wengine wananuna etiii
Ulikuwa..!
 
kwa aarifa yako kuna condm za kike na ni bureeeeeeeee
how%20to%20use%20female%20condom.png
zhizi safi tutaseti papuchi hivi mtupie humo makinikia yenu
 
Naona watu wanaweka experience zao mezani.

Suala la kupima ni la mtu binafsi halaf naweza kuwa nmevipata virusi jana tukienda kupima leo nkaambiwa sina ndio unakuwa umeniamini?
 
inatakiwa mpimane hata miezi sita ndo maana tunasisitiza mpira mkuu
Yani mm nikapime halaf niendelee kutumia mpira na mpenzi wangu miezi yote hiyo...hivi vitu tunaongea hapa tu lkn kuvifanya ni ngumu
 
Mastubation si nzuri rafiki. Inakomaza papuchi na kukuathiri kisaikolojia. Effects zake utaanza kuziona utakapo ingia rasmi kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Duuuh, hapa inabidi atoe ufafanuzi kama zile majora zake zishakuwa chronic, maana napendaga chronic majora huwa wenye papuchi hizzo hawatoi hata kilio, they only say maliza haraka nmechoka.
 
Yani mm nikapime halaf niendelee kutumia mpira na mpenzi wangu miezi yote hiyo...hivi vitu tunaongea hapa tu lkn kuvifanya ni ngumu
ni ngumu ila inabidi vifanyike mkuu hakuna namna
 
Naona watu wanaweka experience zao mezani.

Suala la kupima ni la mtu binafsi halaf naweza kuwa nmevipata virusi jana tukienda kupima leo nkaambiwa sina ndio unakuwa umeniamini?
Upate Jana ,,Leo ugonge ,,wala humuambukizi ng'oooooooooooooooooo ..after all HIV huwa exposed within 2-3 weeks after kukipata .
 
Kwan utaishia kufanya nae mara moja tu?
Sasa hill ndo swali gumu mkuu !! Ndio maana watu hushauriwa baada ya kua wapenz wapime kwanza then wangoje miezi minne wapime tena,, ndo waanze kulana ..

Ila sasa akili zetu tunazijua wenyewe.
 
Lakini kumbuka kuwa condom hupasuka, wengine huzitoboa bila mwanamke kujua na wakati mwingine huchomoka!
Muhimu pima tena ikibidi rudia tena baada miezi mitatu then ndo mfikirie kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nionyeshe mwanamke wa kukubali kusubiri miezi mitatu, utapata zawadi mkuu.
 
wanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima
Ala kumbe wale wanaouza papuchi daily ni wanaume. Alafu utakuta kuanzia saa 1 usiku hadi asubuhi keshaiuza mara 10.

Mwanamke hadi kufika kuamua kuolewa kesha chakazwa na si chini ya wanaume 30.
Fanya mahesabu nani anasambaza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom