Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

wanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima
Mbona ni rahisi sana kuwadoo bila ndom.....round ya kwanza napiga na ndom

Ya pili ndom .....ya tatu nachomoa nakufyeka kav kav ila ukiona nimefanya hivyo

ujue nimekuamini kimtindo.
 
Biashara matangazo, weka namba ya simu wazinzi kunakutaka!
 
Mbona ni rahisi sana kuwadoo bila ndom.....round ya kwanza napiga na ndom

Ya pili ndom .....ya tatu nachomoa nakufyeka kav kav ila ukiona nimefanya hivyo

ujue nimekuamini kimtindo.
Unakua umemuamin kwa vigezo gan mkuu?..
 
Mada pendwa ndani ya JF.....

0a7a2d89baf096c3fc6bcd54c804070f.jpg
 
Wanajisahaulishaga sana hawa viumbe,.mm nilikuwa natembea nazo kwa bag tukikutana namuuliza vipi unazo?? Akianza sababu zake namwambia uckonde mtoto wa kiume hizi hapa kibwenaaa ushindwe ww hahaahaha wengine wananuna etiii

Hapo kwenye nyekundu umenipa maswali mengi sana
 
Point yako ni moja tu ya Msingi nimeusoma hapo kwamba " kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama"

KWAMBA UMEACHA NGONO BASI HONGERA SANA!
 
Point yako ni moja tu ya Msingi nimeusoma hapo kwamba " kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama"

KWAMBA UMEACHA NGONO BASI HONGERA SANA!
asante sana karibu chamani
 
Kweli kabisa...wakiambiwa kupima wabishi hatari. Yaani huwa nashangaa sana utasikia mi mzima Bwana..khaa
vipimo vingine vinadanya...sana.
===
Baki njia Kuu.
Subiri umpate uliyepangiwa na Mungi wako Kuishi naye.
Kwa hayo mawili utaukwepa Ukimwi.
 
Mtu kama amefanya sex ndani ya muda mfupi say chini ya miezi mitatu, mwili unakuwa haijaweza kutengeneza antibodies za kuweza kuwa detected na rapid test, ambazo mara nyingi ndo zinatumika kupima maambukizi ya HIV. Kwa kuwa mtu humjui ni vyema kupima lakini msifanye ngono mpaka atleast baada ya miezi mitatu mpime tena
 
Umeongea la muhimu sana mdada tuwe makini sana vijana wote kwa ujumla usimwamini mtu kabisa la sivyo utashindwa kutimiza ndoto zako
 
Simpimane tuu mbona vipimo vipo tele yanini kupata BP,ukifika mwabie rule no1 ni kupima uko tayari? unakwenda na vitendea kazi unatoka pale kwa amani kabisa mie hata hiyo kinga siiyamini nataka nikupime mwenyewe macho yangu yawe shahidi,baadae ndio kinga inafata,kinga ni final stage..
 
Back
Top Bottom