pls I am not a dr nimebahatika tu kuelewa mambo.Asante sana doctor nakubaliana na ushauri wako
Ok mbona kama umereply kwa ukali utafikiri to be a dr. kitu mbaya?pls I am not a dr nimebahatika tu kuelewa mambo.
Kwa hiyo hizi hamburger nimpatie tu miss natafuta.?Naomba kuanzia sasa usiwe unaniletea piza piza, maana hilo jina naliogopa
Hou ni uroho wako acha kuwatuhumu wanaume.Halafu hilo tumbo lako limetoboka au? Yaan unajaza tuu na bado halijai,wewe una kula tuu bila kununua chochote,hao wanaokupa unawalipa nini? Tukisema unauza kama wale wa kona bar sema kwa njia tofauti.unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita
saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati ,miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3,kababu 2 na soseji mbili.inabidi tu ule maana hakuna jinsi.
saa nne miss twende bna tukanywe supu huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake .inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.
mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu .unaenda na wageni inabidi tena ule utakataeje kula na wageni si utaonekana unaloga? napo hakuna jinsi wala namna
jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu njoo tule hapa bna wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.
sijui nifanyeje tena
Ww hujui,hao ndo watamu ka nini.Mimi mibonge nooo,inaswet hiyooo,,,mingine ina harufuuSio vizuri kufyatuana?, hatupendi wanawake wembamba maana wakati wa kufyatuana unagusa mifupa tu
Mmh! Mpe tu maana ma hamburger unanipa kikombe kizima wakati mazoezi unanipimia kwenye kijiko cha chai [emoji1] [emoji1]Kwa hiyo hizi hamburger nimpatie tu miss natafuta.?
kila siku nakufanyisha mazoezi you can't be chibongeee.
Kutoa offer ni tabia ya mtu haina uhusiano kabisaa na JPM na uzi wake!JPM kauzi kamelegeaa... embu kazia kdg bado wako wale wanaotoa vi-ofaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Basi tutaanza mazoezi baby...hadi ya kuruka mitaro..karate..taikundo... na kama yale ya askari magereza [emoji23][emoji23]Mmh! Mpe tu maana ma hamburger unanipa kikombe kizima wakati mazoezi unanipimia kwenye kijiko cha chai [emoji1] [emoji1]
[emoji36] [emoji36] sawa BabyBasi tutaanza mazoezi baby...hadi ya kuruka mitaro..karate..taikundo... na kama yale ya askari magereza [emoji23][emoji23]
Hapa umetudanganya mkuu.hizo situmii
Inabidi uwe modal mwakani tuchukue taji la Diana[emoji36] [emoji36] sawa Baby
[emoji15] [emoji15] na watoto wa 3 hawa nilionao??? Mi nilidhani wataka tuongeze MwingineInabidi uwe modal mwakani tuchukue taji la Diana
Jamani baby, hujui uongo wapenzi ndiyo utamu wake?[emoji15] [emoji15] na watoto wa 3 hawa nilionao??? Mi nilidhani wataka tuongeze Mwingine
Kutoa offer ni tabia ya mtu haina uhusiano kabisaa na JPM na uzi wake!
Hivyo hivyo vidogo tunakula Mkuu! We kama mchoyo mchoyo tu yaani hata upewe fuko la pesa bado hutotoa offer kwa wenzio[emoji28][emoji28][emoji28] unajua saiv vile vipisho hamna maana watu walikua wanaviti special kwny BAR na offer zilikua nje nje saiv hali ngumu mamaa kamshahara hakajai hata mkonon[emoji23]
madem tunawanenepesha kwa genye tuunaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita
saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati ,miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3,kababu 2 na soseji mbili.inabidi tu ule maana hakuna jinsi.
saa nne miss twende bna tukanywe supu huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake .inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.
mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu .unaenda na wageni inabidi tena ule utakataeje kula na wageni si utaonekana unaloga? napo hakuna jinsi wala namna
jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu njoo tule hapa bna wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.
sijui nifanyeje tena
Hivyo hivyo vidogo tunakula Mkuu! We kama mchoyo mchoyo tu yaani hata upewe fuko la pesa bado hutotoa offer kwa wenzio
Nataka offerKhaaa! Mbona umeniamkia asubuh asubuh? Au umeniota nini[emoji23][emoji23]