LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Macho nimekuscopion haitoshi. Sijui niku trump kabisaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Macho nimekuscopion haitoshi. Sijui niku trump kabisaaa
Baby, achana na hao wenye mapenzi ya kuonjesha tuzo za mapenzi zote zinaenda kwako. Tunajuana miandiko hadi viwalo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kwako nimefika nimezikwa nasubiri kuozaBaby, achana na hao wenye mapenzi ya kuonjesha tuzo za mapenzi zote zinaenda kwako. Tunajuana miandiko hadi viwalo [emoji7][emoji7][emoji7]
ila si umeshamwaambia lknMacho nimekuscopion haitoshi. Sijui niku trump kabisaaa
cha Arusha hakikufai jaman sisi tunaelewa ni kitu gani.Chemba ongeeni ila cha Arusha niachieni [emoji1]
Naona kaziba maskio.ila si umeshamwaambia lkn
nimeshakuambia wewe unaharibu bhana sikuletei tena. unasemaje humu na unajua bae wangu STUNTER kashanikataza?Naona kaziba maskio.
Nachofanya ngoja nimtrump akae white house ya moyo wangu ajae kesho mpaka baadae. Ikishindikana niletee manzi ya ara via via
hahahahahahahaha sawa ila si ataona jaman? sitaki ugomvi bhana kwa house yangu loooh shem una mpango gani lakini?Bro yupo busy muda huu usimwogope. Kuna alarm nimeseti akiingia tu tunanyamaza
Lakini unajua Wifi mambo ya kufichana fichana sipendi ujue! Hicho cha Arusha najua kabisa kitakua kizibo unamuubganishia Daby ili afunike chupa yake! Yaani najua kabisa [emoji25]cha Arusha hakikufai jaman sisi tunaelewa ni kitu gani.
wifi wifi
Haha...sina cha zaidi ya yale mambo yetu shem. Au umehisi kuna kampango ka kando nataka kwani?hahahahahahahaha sawa ila si ataona jaman? sitaki ugomvi bhana kwa house yangu loooh shem una mpango gani lakini?
teh teh teh<<< Umesahau na naniliuuu zinaongeza uzito zikiiiiiiingia kama hutumii mpira >>>
unajuaje wifi acha maneno ujue sipendagi ujinga siku hizi.Lakini unajua Wifi mambo ya kufichana fichana sipendi ujue! Hicho cha Arusha najua kabisa kitakua kizibo unamuubganishia Daby ili afunike chupa yake! Yaani najua kabisa [emoji25]
ndo nikasema niulize mapema ila noted mpango uko pale pale ila venue tubadilishe bhana.Haha...sina cha zaidi ya yale mambo yetu shem. Au umehisi kuna kampango ka kando nataka kwani?
Unatakiwa wewe ucontrol mwili wako vile upendavo na sio mazingira sio kila kitu cha kukubali jali afya yako kama unapenda kuwa mnene Sawa Kama hupendi unawaambia Hapana.Hakuna kitu kizuri in life Kama kutumia neno hapana pale inapobidi.Unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita
Saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati , miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3,kababu 2 na soseji mbili inabidi tu ule maana hakuna jinsi.
Saa nne miss twende bana tukanywe supu huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.
Mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu unaenda na wageni inabidi tena ule utakataeje kula na wageni si utaonekana unaloga? Napo hakuna jinsi wala namna
Jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu njoo tule hapa bana wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.
Sijui nifanyeje tena
Nimeota wifi yaani nimeota ndoto kama za Lema
hahahahahahaha rudi usingizin uulize tena kama ni kweliNimeota wifi yaani nimeota ndoto kama za Lema
Haha..nakupendeaga hapo tu. Iwe ya mbali mbali...@LadyAJ mtafutie cha arusha Azime kwa muda. Tumalize mipango yetundo nikasema niulize mapema ila noted mpango uko pale pale ila venue tubadilishe bhana.