Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Hiyo avatar ni wewe?
Haa ha ha mwache afumuke tuatawakatalia wakati anafurahia kupata free kwa kukanyaga ganda la ndizi [emoji16][emoji16][emoji16]
Awamu ya 5 imepatwa na nn mkuuIlikuwa awamu ya 4
We kama ni bahili bahili tu, hainaga cha awamu wala nn, kutoa ni moyo si utajiri ukiwa mchoyo usiwe mroho!Sijui kama bado wapo wapuuzi wa hivyo awamu hii.
yetu macho na ushemale wakeHaa ha ha mwache afumuke tu
Naomba kuanzia sasa usiwe unaniletea piza piza, maana hilo jina naliogopaChibongeee
Watu wa hivyo Ukiwakatalia wanakwambia "na mimi nikija kwako ntakataa kula" sasa inabidi tu wakati mwingine uwe unakulacha kufanya ni wewe kuwakatalia
wananiletea kabisa mezaniwanakushika mkono
We kama ni bahili bahili tu, hainaga cha awamu wala nn, kutoa ni moyo si utajiri ukiwa mchoyo usiwe mroho!
bora unitetee mamy maana hawanielewi utakataaje chakula mtu kakununulia kwa upendo jamani .tuwe na utu etiWatu wa hivyo Ukiwakatalia wanakwambia "na mimi nikija kwako ntakataa kula" sasa inabidi tu wakati mwingine uwe unakula
Haaaa awamu ya kitonga.Sasa mwendo kasiIlikuwa awamu ya 4
najitahidi kweli natamani ungenionaHuna plan ya kupunguza unene wala nn, ww mamisos yote unakula tu kwann husijizuie
MUNGU anakuona ww unayebugia kila kitu unachopewa.......
bujibuji ni nini kama chakula flani hivi kitamu?Miss Natafuta a.k.a JF's finest Lady usiendeke moyo unavyokutuma... ushinde moyo.... wacha tamaa ndipo utaweza kutimiza malengo yako
Hawa wanaonyesha workmate zao ni mabahili, wachoyo! Kununuliwa chakula au kuletewa breakfast ni jambo La kawaida sana ! Mwingine anakwambie eti ilikuaga awamu ya 4 hahahaaa yaani watu wanadhani kila mtu anaishi maisha wanayoishi ya kishetani shetanibora unitetee mamy maana hawanielewi utakataaje chakula mtu kakununulia kwa upendo jamani .tuwe na utu eti
itakuwa hujielewi basibora unitetee mamy maana hawanielewi utakataaje chakula mtu kakununulia kwa upendo jamani .tuwe na utu eti
masikiniWatu wa hivyo Ukiwakatalia wanakwambia "na mimi nikija kwako ntakataa kula" sasa inabidi tu wakati mwingine uwe unakula
Duh basiWatu wa hivyo Ukiwakatalia wanakwambia "na mimi nikija kwako ntakataa kula" sasa inabidi tu wakati mwingine uwe unakula
wewe ni mgeni humu?Tumejua wewe bachelor.
Umetuanzia mbalii..