Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Hao wanaume wakutoa offer kila siku wapo mkoa gani nihamie jamani?
Hahahahahaha umeniacha hoiunaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita
saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati ,miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3,kababu 2 na soseji mbili.inabidi tu ule maana hakuna jinsi.
saa nne miss twende bna tukanywe supu huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake .inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.
mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu .unaenda na wageni inabidi tena ule utakataeje kula na wageni si utaonekana unaloga? napo hakuna jinsi wala namna
jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu njoo tule hapa bna wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.
sijui nifanyeje tena
[emoji122] WachaHao wanaume wakutoa offer kila siku wapo mkoa gani nihamie jamani?
Ukianza kutupa lawama katika jambo lililo ndani ya uwezo wako kwa mustakabali wa Afya na Uhai wako kamwe hautafanikiwa.Hizi ni excuse na blame game.Play your part,kuwa na discipline na maamuzi yako,usiyumbishwe kama gari bovu.Hakika utafanikiwa lengo.
Unatabia ya ulafi unasingizia wanaumeunaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita
saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati ,miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3,kababu 2 na soseji mbili.inabidi tu ule maana hakuna jinsi.
saa nne miss twende bna tukanywe supu huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake .inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.
mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu .unaenda na wageni inabidi tena ule utakataeje kula na wageni si utaonekana unaloga? napo hakuna jinsi wala namna
jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu njoo tule hapa bna wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.
sijui nifanyeje tena
Utasubiri sana kumpata. ..wewe ni mgeni humu?
unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita
saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati ,miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3,kababu 2 na soseji mbili.inabidi tu ule maana hakuna jinsi.
saa nne miss twende bna tukanywe supu huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake .inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.
mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu .unaenda na wageni inabidi tena ule utakataeje kula na wageni si utaonekana unaloga? napo hakuna jinsi wala namna
jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu njoo tule hapa bna wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.
sijui nifanyeje tena
najitahidi kweli natamani ungeniona
kweli mkuu,tena agome kabisa kam yupo serious..cha kufanya ni wewe kuwakatalia
Asante sana doctor nakubaliana na ushauri wakoMiss Natafuta Ukitaka kupungua inabidi uwe na discipline ya hali ya juu kwasababu kupunguza mwilini kunakuja na maumivu either ya kushinda na njaa au kufanya mazoezi. Kama umeamua kuwa mtu wa mazoezi, unakimbia dakika 60 kila siku una uhuru wa kula kila unachokipenda. Kama ni mvivu wa mazoezi inabidi ujifunze kusema no thank you, unaweza kuwaambia umefunga, ninavyojua mimi, ukimpa mtu kitu siku ya kwanza na yapili amekataa siku ya tatu hurudii.
Ubongo unahitaji chakula masaa 24 na mwili ukikosa chakula kwa masaa 12, unaanza kuyeyusha mafuta mwilini ili ubongo upate chakula. Kama huwezi mazoezi kula mara moja kwa siku, mchana kazini unashindia herbal teas bila sukari.
hahahaha......kuja usukumani huku Honey Faith utakimbia offerHao wanaume wakutoa offer kila siku wapo mkoa gani nihamie jamani?