KING 360
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,002
- 5,202
Hao wote wanaokupa hivyo vitu huwa hawavidai kwa namna nyingine kwelini kweeli ndo maana sikatai maana ni kufuru
Hao wote wanaokupa hivyo vitu huwa hawavidai kwa namna nyingine kwelini kweeli ndo maana sikatai maana ni kufuru
Anakusaidiaje eti..?help me to loose weight
Mchungaji...Huo uloho wako tuuu unakosa mcmamo
baba\kaka\mjomba\shemejio hauwaheshimu?? mbona unawakataliaga...wape wote offer hiyonaogopa kuwakatalia ni watu wakaribu nawaheshimu sana
Hizo uwe unatumia au hutumii inaingia naturally.hizo situmii
zipi? kwani sambusa sh ngapi?Ilikuwa Enzi hizo mama.
sawa mkuu najitahidiUkianza kutupa lawama katika jambo lililo ndani ya uwezo wako kwa mustakabali wa Afya na Uhai wako kamwe hautafanikiwa.Hizi ni excuse na blame game.Play your part,kuwa na discipline na maamuzi yako,usiyumbishwe kama gari bovu.Hakika utafanikiwa lengo.
ipi tena?baba\kaka\mjomba\shemejio hauwaheshimu?? mbona unawakataliaga...wape wote offer hiyo
sitaki unene tena mkuuHata hivo tunataka Miss Bantu,we kafanye mazoezi ya pumzi tuu sio weight loss, si unaona hata avatar yako ilivyo tamu
ahahaa sipendi kula kula hataWewe utakua eating machine, sio bure. Haiwezekani ule kila kitu kinachopita mbele yako, eating machine indeed.
sina tamaa mkuu nakuwa sina jinsi ya kukataaMiss Natafuta a.k.a JF's finest Lady usiendeke moyo unavyokutuma... ushinde moyo.... wacha tamaa ndipo utaweza kutimiza malengo yako
atawakatalia wakati anafurahia kupata free kwa kukanyaga ganda la ndizi [emoji16][emoji16][emoji16]cha kufanya ni wewe kuwakatalia