Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona!

Bado hapo hujaweka vidonge vya majira,navyo vinawanenepesha vilevile
 
unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita
saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati ,miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3,kababu 2 na soseji mbili.inabidi tu ule maana hakuna jinsi.

saa nne miss twende bna tukanywe supu huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake .inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.

mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu .unaenda na wageni inabidi tena ule utakataeje kula na wageni si utaonekana unaloga? napo hakuna jinsi wala namna

jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu njoo tule hapa bna wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.

sijui nifanyeje tena
Acha tamaa
 
Shida unayo wewe; mbona sisi wamidomo mikavu mlo mmoja per day huweki urafiki na sisi? Au unatuona masikini sana hapo ofisini??? Karibu chamani(lampard) 2 weeks vanesa mdee ni mnene
 
unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita
saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati ,miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3,kababu 2 na soseji mbili.inabidi tu ule maana hakuna jinsi.

saa nne miss twende bna tukanywe supu huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake .inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.

mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu .unaenda na wageni inabidi tena ule utakataeje kula na wageni si utaonekana unaloga? napo hakuna jinsi wala namna

jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu njoo tule hapa bna wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.

sijui nifanyeje tena
Dawa ni Nidhamu ya kula tu hakuna kingine
 
Back
Top Bottom