Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,446
- 29,853
Ngoja kwanza tusherekee ushindi wa Trump..
una hamu ya like eeh?Wanaopata treatment hii humu please like my comment nitawapa zawadi.
Ngoja kwanza tusherekee ushindi wa Trump..
help me to loose weightPole weee
Najua hakuna. Hatuna muda huo.una hamu ya like eeh?
hapa ofisini kwetu, enzi za jk watu wakienda lunch ilikuwa corridor nzima makelele, siku hz hakuna kelele wala watu!cha kufanya ni wewe kuwakatalia
naogopa kuwakatalia ni watu wakaribu nawaheshimu sana
Sawa dear!!help me to loose weight
hawali tena?hapa ofisini kwetu, enzi za jk watu wakienda lunch ilikuwa corridor nzima makelele, siku hz hakuna kelele wala watu!
wewe ungekataa?Huo uloho wako tuuu unakosa mcmamo
Siku 'izi hakunaga hayo mambo?Ilikuwa awamu ya 4
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Sio vizuri kufyatuana?, hatupendi wanawake wembamba maana wakati wa kufyatuana unagusa mifupa tu
wanakuja na vi.containers kutoka majumbani, hivi havina makelele!hawali tena?
ahahaaawanakuja na vi.containers kutoka majumbani, hivi havina makelele!
Siku 'izi hakunaga hayo mambo?