Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wakati mwingine shida zenu ndo zinawafanya wanaume wakimbie sasa wewe nimekotongoza hata wiki mbili bado mizinga imeanza, naamka asubuhi nakutana na tafadhali nipigie/niongezee hela, mdogo wangu amefukuzwa shule, mama/baba wananaumwa lakini kumbe uongo, uongo sasa ndo usiseme!!, unaniita dukani kuja nakuta umeshika nguo/viatu vya elf 50 maisha yenyewe haya ya Magu, bado kusuka sijui kodi ya room eee!! yote hayo mimi tu!!! lazima wanaume wakimbie tu.
Aiseeeee!!!!aiseeeee!!,mmmh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mimi hata sina hamu na hawa viumbe yaani mda mwingine unajiuliza huyu mtu ana lengo gani na mimi!!! yaani mizinga kwake ni sijui kama nini!!!

miezi michache iliyopita nilikuwa na mdada ambaye hataki fashion mpya ya style ya kusuka, nguo, kiatu kila aina ya takataka impite nikaona huyu atanitoa roho!!!
Huyo kama hajakufilisi atakutia presha bure....! Kimbia mapema.
 
Usiseme wanaume sema mwanaume.Ata hivyo lazma ujue mwanaume akikata mawasiliano na wewe jua tatizo ni wewe mwenyewe mwanamke maana ata kama lengo la mwanaume lilikua la mda mfupi na wewe kama angeridhika na wewe asingekata mawasiliano ghafla.
 
Wala hata nlikua sijagusia pesa sanasana alininunulia lunch na kunipa nauli kwa matakwa yake. kuhusu papuchi nlimwambia tukapime kwanza halafu pia tutatumia condom.....

Hapo kwenye kupima ndo pamemkimbiza.Kupima is not an easy task as you think.
 
Inakuaga ni season tu mtu akishakuzoea..best way ni wewe kuendelea na ishu zako pia..akikumiss atarudisha majeshi tu...
 
Amegundua kuna baadhivya features hamuendani....

Na pia hajala mzigo...sasa unalalama nn,we shika hamsini zako
 
kagundua siyo type yake..

alikuwa anataka kitumbua labda kapata..

ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa

labda unaboa na kuchosha

una mashauzi ya kijinga..

unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....

hujiamini

chagua linalokufaa
Usiusemee moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamtongoza binti siku mbili hazijaisha unaambia nadaiwa kodi ya mwaka kwa nini uendelee kupokea simu
[HASHTAG]#pesayakodihaijawahimuachamtusalama[/HASHTAG].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hata mzigo hujala unaambia nitumie pesa nisafiri nikamuone mgonjwa kabla hujatuma sms inaingia nipo hospitali nimelazwa bill laki mbili mara nitumie na pesa ya chakula mara mdogo wangu anadaiwa ada mara ninadaiwa mchango wa arusi laki moja. Tuksah kubadili hata namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom