kagundua siyo type yake..
alikuwa anataka kitumbua labda kapata..
ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa
labda unaboa na kuchosha
una mashauzi ya kijinga..
unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....
hujiamini
chagua linalokufaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] yani kweli mambo yetu ndo umeamua kuleta huku??kweli??Ndio hivyo mkuu utakuta mwengine mpaka upost picha facebook ndio anakutumia kimessage eti amebanwa na kazi, mwengine ndio kapotea mazima
[emoji16][emoji16][emoji16] kwani we hujawai kumchunia hivyo mtu
true mkuu. kama mwanamke unataka kusex nae si umwambie tu aamue mwenyewe .unajifanya kujipaisha mara nakupenda,mara nakuoa ,wakati unajua huwezi kufanya hayo ili iweje.ndo maana hamfanikiwi kumlala kila mwanamke sio ujanja ni ujinga
[emoji2] [emoji2] nimchunie kwa nin sasa[emoji16][emoji16][emoji16] kwani we hujawai kumchunia hivyo mtu
Money.. Power... Respect!!!
Umeona huendan nae ....
we mpotezee asikuchoshe bwanaHata ivyo siwezi kwenda kwake wakati hapokei sim zangu. Jamani hata picha hulioni????
hamna lolote hamjitambui tu. nani anaombaga hela kiboya boya mkuu.hata sisi tuna hela atiiWakati mwingine shida zenu ndo zinawafanya wanaume wakimbie sasa wewe nimekotongoza hata wiki mbili bado mizinga imeanza, naamka asubuhi nakutana na tafadhali nipigie/niongezee hela, mdogo wangu amefukuzwa shule, mama/baba wananaumwa lakini kumbe uongo, uongo sasa ndo usiseme!!, unaniita dukani kuja nakuta umeshika nguo/viatu vya elf 50 maisha yenyewe haya ya Magu, bado kusuka sijui kodi ya room eee!! yote hayo mimi tu!!! lazima wanaume wakimbie tu.
mwanzo datings na kuchat ni kusomana.. sasa may be kuna vitu amekusoma kwenye maongezi tu akajua huyu ni kilaza akaona bora asepe... huchelewi kuta ulimletea story za harusi na mashela siku ya kwanza tu
Hakuna haja ya kwenda kwake..just chill kama anakukubali atakutafuta tu.Mh jamani sasa niende kwake wkt mtu hajibu msg zangu? si ndo anaonyesha kanichoka?
ha ha ha msikubaliyap ni vibaka tu wa papuchi.wanajua kupretend waapo sirias na maisha kumbe ni wahuni tu wasio na ustaarabu wowote
basi vizuriDuuh ee bwana eeh....ila tulikua hatujasex bado.....
Una akili sana afu hupendi makuu..ipo siku ntakuja pm tuyajengekagundua siyo type yake..
alikuwa anataka kitumbua labda kapata..
ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa
labda unaboa na kuchosha
una mashauzi ya kijinga..
unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....
hujiamini
chagua linalokufaa
Hivi ukimlala kila mwanamke (wanawake wengi)hufanikiwi??true mkuu. kama mwanamke unataka kusex nae si umwambie tu aamue mwenyewe .unajifanya kujipaisha mara nakupenda,mara nakuoa ,wakati unajua huwezi kufanya hayo ili iweje.ndo maana hamfanikiwi kumlala kila mwanamke sio ujanja ni ujinga