Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Hebu nipe namba yako tuone kwanza
sent from Sokoro nkorambokande
sent from Sokoro nkorambokande
Unaweza ukawa umepoteza maxi zako siku ya kwanza. Mtu anakutoa out anashangaa unavyobugia bia kama gari la V8 linavyonyonya mafuta alafu hapo mtu alikuwa anatafuta mke. Unadhani utaendelea kushobokewa?
Wasipo elewa hapa itakua kweli walimu wao vi pofu wewe ni muelewa sanaaaa
Mara nyingi ni hivyoo ulivyo sema ukipata ane jielewa urafiki unadumu kikubwa tusifatiliane tu labda kuwe naaa dharula sawa
Mnapoharibu ni hapo kwenye kudate,nyie wengine mnafanya na zinaa kabisa, na ukumbuke huyo mtu hajakuoa unategemea nini?Au labda kama mimi sijui maana ya kudate...
Huwa tunapita jamani mtuelewe...kwan mpk sasa hv nyie madem mshapitiwa na wangap..[emoji1][emoji1]hamjifunzi tu maana sisi tukishakumwagia mchuzi wa mapenzi tunaangalia another hole..[emoji41]ndo tulivyo umbwa bwashee
Au ulimtangazia matatizo yanayokukabili maana wengine wakishaona mizinga imezidi wanakimbia.Wala hata sijafanya nae zinaa ndo hapo kinachonishangaza, ningefanya nae zinaa wala nisingeshangaa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we nawe limbukeni kweli...
ha ha ha hata yule atakayekuoa pia anaweza akakumwagia mchuzi pia...so ni Mungu tuu huwezi jua
Ukweli uliowaziKuna tofauti kubwa sana kati ya Wavulana na Wanaume.
Wavulana kufanya hivyo ni jambo la kawaida sana coz wao wanachotaka kwa ni sifa tu na siku zote wao vision yao kila kukicha huwa nikuongeza member mpya kwenye list zao thats why hit & run kwao sio kitu cha ajabu.
Wanaume huwa hatuna papara coz majukumu ni mengi na maisha yako kasi sana hivyo huwa hatupendi kurukaruka na papuchi manaake zitatupotezea tention ya mambo ya msingi. Kimsingi wanaume tunapambana na hali zetu.
Tatizo wanawake mnakimbilia wavulana badala ya wanaume at the end of the day yakiwakuta ya kuwakuta badala ya kuwalaumu hivyo vivulana vyenu mnakuja kusema oooh wanaume blah, blah, blah..!!
Pengine papuchi yako inatoa harufu ya uvundo..
Pengine ni king'ang'anizi sana..
Pengine mbishi na mjuaji sana...
Pengine unapiga sana mizinga...
Pengine una sura mbovu..
Kwa hiyo jitafakari, mwanaume hakimbii hivi hivi sema sisi ni wagumu kumwambia mtu mapungufu yake!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jajajajaja.. Hakuna cha kukomesha mtu hapa.
anyway ngoja nimshauri huyu mdodgo wetu Cataliyya ili siku nyingine isimtokee.
[TAG]Cataliyya[/TAG]siku nyingine uki date na mtu mara mbili, uka binasfi umempenda usipoteze mda we kubali maana siku hizi wanaume tuko busy, hatuna mda wa kupoteza na wale mnao play hard to get wakati mnataka.