Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
bora nitembee na bodaboda kuliko wanaume wa huku so fake kuliko fake yenyeweha ha ha msikubali
bora nitembee na bodaboda kuliko wanaume wa huku so fake kuliko fake yenyeweha ha ha msikubali
sema wewe una hela mkuu sio wote mkuu ninachokwambia ukweli wenyewe labda huwajui mademu wa uswahili!!hamna lolote hamjitambui tu. nani anaombaga hela kiboya boya mkuu.hata sisi tuna hela atii
hufanikiwi kabisa mkuu .unadhulumu hadi papuchiHivi ukimlala kila mwanamke (wanawake wengi)hufanikiwi??
siku ukiwa na hela nyingi njooUna akili sana afu hupendi makuu..ipo siku ntakuja pm tuyajenge
ha haa haaaa!bora nitembee na bodaboda kuliko wanaume wa huku so fake kuliko fake yenyewe
ha haa umemaliza mamabora nitembee na bodaboda kuliko wanaume wa huku so fake kuliko fake yenyewe
Wanaume fake na real wapo kila sehe mkuun,so hata real guys tupo humu..[emoji4] [emoji4]bora nitembee na bodaboda kuliko wanaume wa huku so fake kuliko fake yenyewe
labda kama wanajiuza.hapa tunazungumzia mtu alokuja jf akasema anitaji mpenzi.unamtongoza unalala nae unamkimbia si ungemuacha na mishe zake? kwanini unamuharibia mtu malengo yake kwani wanawake wa kusex si wengi tu?sema wewe una hela mkuu sio wote mkuu ninachokwambia ukweli wenyewe labda huwajui mademu wa uswahili!!
Hivi nikuulize,unadhani sometyms why men cheat? ?au why wnalukialukia kila Papuchihufanikiwi kabisa mkuu .unadhulumu hadi papuchi
Hivi wanume wa humu na huko mtaani wana utofauti upi!!!labda kama wanajiuza.hapa tunazungumzia mtu alokuja jf akasema anitaji mpenzi.unamtongoza unalala nae unamkimbia si ungemuacha na mishe zake? kwanini unamuharibia mtu malengo yake kwani wanawake wa kusex si wengi tu?
bora bodaboda nitakumbatiwa kwenye misele na jua hili ahahaaha haa umemaliza mama
Basi we uko poa sana aisee.tupa kule! wanaume wenyewe wengi tu mbona jaman!mie nitakubembeleza week 1 week ya 2 nishadelete kila kitu chako! naendelea na yangu
duhsiku ukiwa na hela nyingi njoo
My dear anaanzaje? Naona nikukosa haya pia itabidi ajipange kwa mawili moja likiwepo kufukuzwa.si keshakuonesha kwake wewe nenda tu si unajua njia ama
[emoji122] [emoji122] kweli kabisa ulichosema.tatizo mabinti ukitongozwa wanajua umependwa .. wanaume wengine huwa wanatongoza kwa starehe tu na hawamaanishi sasa wewe kuambiwa umependwa basi moyo mwili wote kwake ..
Basi we uko poa sana aisee.