Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 378
Naomba niulize swali kwa wana JF hasa wanaume,
Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.
Mwingine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei simu zako wala SMS hajibu.
Hivi hii inatokana na nini?