Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Ndio hivyo mkuu utakuta mwengine mpaka upost picha facebook ndio anakutumia kimessage eti amebanwa na kazi, mwengine ndio kapotea mazima
Usiwagande hua ni urafiki wa kibinadam tu kama vipi usifanye show mpaka ndoa
 
kagundua siyo type yake..

alikuwa anataka kitumbua labda kapata..

ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa

labda unaboa na kuchosha

una mashauzi ya kijinga..

unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....

hujiamini

chagua linalokufaa
Umegonga humo humo
Week mbili tu, kodi ya nyumba, ada ya mdogo wake nk
Lazima mtu apewe nafasi kidogo
 
tatizo mabinti ukitongozwa wanajua umependwa .. wanaume wengine huwa wanatongoza kwa starehe tu na hawamaanishi sasa wewe kuambiwa umependwa basi moyo mwili wote kwake ..
na kweli wanaume wengine wanapenda kutongoza tuuu.....ukikubali anaweza kuchenga pia.....yeye apetite yake ni kutongoza only...japo ukichanganya unaliwa pia!!!!!
 
Pengine papuchi yako inatoa harufu ya uvundo..
Pengine ni king'ang'anizi sana..
Pengine mbishi na mjuaji sana...
Pengine unapiga sana mizinga...
Pengine una sura mbovu..

Kwa hiyo jitafakari, mwanaume hakimbii hivi hivi sema sisi ni wagumu kumwambia mtu mapungufu yake!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba ni kuwakomesha tuu amna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
Jajajajaja.. Hakuna cha kukomesha mtu hapa.
anyway ngoja nimshauri huyu mdodgo wetu Cataliyya ili siku nyingine isimtokee.
[TAG]Cataliyya[/TAG]siku nyingine uki date na mtu mara mbili, uka binasfi umempenda usipoteze mda we kubali maana siku hizi wanaume tuko busy, hatuna mda wa kupoteza na wale mnao play hard to get wakati mnataka.
 
Nna wasiwasi na huu uzi umenilenga mimi maana hata cku tatu bado tokea nimkatie mtu mawasiliano leo naingia huku na kutana na uzi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh ee bwana eeh....ila tulikua hatujasex bado.....
Hapo wakati mnadate alikuwa hajapata profile yako,baada ya kukutoa out au kwenda ghetto kwake inaonesha baadhi ya marafiki au Watu wake wa karibu walikuona na wamempa A to Z kuhusu wewe ndio akaona aamshe popo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom