Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Hahaha hahaha duuh hii dunia ina mengi.
Unamaliza kufua,unapika then wakati
Wa kuondoka anakwambia
"mwanaume atakae kukuona,
atapata sana raha"
Utajiskiaje?

wanapenda drama sana hawa watu..."na sisi machalii tunazo drama so noo commitment mama...." by alikiba
 
Yaan yote umeshamfanyia
Adi 6*6 mchana huo wote
Halafu jioni anakusinfikiza
Anakuaga na kauli hiyoo
Daah kuna mshikaji angu

Alimfanyia hivo mdada wa watu
Adi leo huwa anajishtukia kama
Vile anakosoro.wanaume sometime tunazjua akili zetu[emoji6][emoji6]

mnazo drama yaani hamuwezi kua loyal...me nshawajuaga
 
Kabla hata mzigo hujala unaambia nitumie pesa nisafiri nikamuone mgonjwa kabla hujatuma sms inaingia nipo hospitali nimelazwa bill laki mbili mara nitumie na pesa ya chakula mara mdogo wangu anadaiwa ada mara ninadaiwa mchango wa arusi laki moja. Tuksah kubadili hata namba

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama hali ni hiyo lazima usepe....
 
kabisa msilazimishe penzi tunaisha just once umefanya kosa hakuna haja ya kuishi na kosa huko ni kujitesa
Tatizo huwa hatutaki kukubaliana na ukweli hatutaki kusema hapa nimekosea basi napaswa kujifunza nisonge mbele, amekudinya kakuacha jifunze wakati mwingine usirudie kosa
 
Tatizo liko kwa wasichana. Mwanamke akivuliwa chupi anadhani huyo ndiye mume ataoa kumbe wapi. Sometimes wanaume tunataka pleasure tu, burudani, ....ukianza story za marriage lazima tukimbie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom