Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Ndio hivyo mkuu utakuta mwengine mpaka upost picha facebook ndio anakutumia kimessage eti amebanwa na kazi, mwengine ndio kapotea mazima
Kwa kifupi alivyokufikiria sio, hakupendi sema anakuonea huruma tu kukuambia, hapo kama una akili unajiongeza tu una rara mbere... kwa sauti ya baba J..
 
Naomba niulize swali kwa wana JF hasa wanaume,

Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.

Mwingine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei simu zako wala SMS hajibu.

Hivi hii inatokana na nini?
Hit and run.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa kwa burudani si ukafate Malaya uko wamejaa shenziii mtu siku ajarib kuniambia ivyo hayo matusi yatakuwa si ya nchi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hewaaaaaa kumbe ndomana umetiwa changa la macho pole sana.basi kila mtu na aina yake wengine kwa malaya utamuua lakini haaachi na wengine ukimtajia malaya atakuona kama mnyonya dam vile pole sana
 
Demu nikikuleta nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza nitapima utendaji kazi wako wa ndani, Najua km nyumba chafu utafanya usafi, mpangilio wa vitu hauko sawa utashauri nirekebishe, nyumba ni ndogo au kubwa utashauri nipunguze kwa kutafuta ndogo ili kupunguza unnecessary costs, badala ya kununua chips kuku mtaani utashauri tupike!

Ukiona kati ya hayo hakuna hata moja ulilofanya, automatically utakuwa umefeli interview na possibly sitataka kuwasili na ww tena,

First impression matters a lot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi kumfanyia hivo mwanadada mmoja, na niliamua kufanya hivo maana niliona hakuwa constructive hata kidogo. Kila tukikutana anataka kunisimulia habari za instagram, sijui shilawadu, akija kwangu hamna kitu cha maana tunaongea au kufanya zaidi ya kumgonga.
Alafu mbaya zaidi hata tukichati, lazima alete habari za ngono, insta na shilawadu.
Nikaona bora nile kona kimya kimya.
Mi nadhani mabinti inabidi mjichunguze, what do you have to offer in the relationship

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ENELEENI KUZAMA KWENYE MAHOLE LABDA IPO SIKU MTAKUTANA NA DHAHABU ILA FAINALI KABURINI
Umeenda mbali sana mamy kaburini tena hivii kwani nyie hua hamsikii utam?msitutupie lawama mapenzi kwa wote japo sie ndo wa anzaji tu
 
Demu nikikuleta nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza nitapima utendaji kazi wako wa ndani, Najua km nyumba chafu utafanya usafi, mpangilio wa vitu hauko sawa utashauri nirekebishe, nyumba ni ndogo au kubwa utashauri nipunguze kwa kutafuta ndogo ili kupunguza unnecessary costs, badala ya kununua chips kuku mtaani utashauri tupike!

Ukiona kati ya hayo hakuna hata moja ulilofanya, automatically utakuwa umefeli interview na possibly sitataka kuwasili na ww tena,

First impression matters a lot.

Sent using Jamii Forums mobile app

yaan hamueleweki! mara oh demu akija kwako akikuvulia kyupi kwa mara ya 1 huyo ni ma.la.ya ,sasa ww unamuita mwanamke kwako hv humo ndan hakuna kushikana shikana kweli! mara umeinama unapiga deki men anakuja nyuma huon km na ww unampa msismko baadae mvunje amri! mie nasemaga siku zote kama ipo ipo tu! utajipikisha weeee kama sio wa kuolewa huolew tu!
 
yaaani ufike kwa mtu siku ya kwanza uanze kudeki sijui kupika ? loh nikiungua je? kujigonga huko mkuu sio kwa nchi hii
 
yaan hamueleweki! mara oh demu akija kwako akikuvulia kyupi kwa mara ya 1 huyo ni ma.la.ya ,sasa ww unamuita mwanamke kwako hv humo ndan hakuna kushikana shikana kweli! mara umeinama unapiga deki men anakuja nyuma huon km na ww unampa msismko baadae mvunje amri! mie nasemaga siku zote kama ipo ipo tu! utajipikisha weeee kama sio wa kuolewa huolew tu!
eti siku ya kwanza unaenda kushika mwiko kwa mtu ahahaaa
 
kagundua siyo type yake..

alikuwa anataka kitumbua labda kapata..

ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa

labda unaboa na kuchosha

una mashauzi ya kijinga..

unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....

hujiamini

chagua linalokufaa
Mkuu siku izi coments zako za kikubwaa sanaa yaan now maneno yako adi yanavutia mtu kusoma
Ama kwel kukua ni kujitambua
Siku izi napenda sana coments zako zipo kiushaur sana huwa
Unabalance
 
Back
Top Bottom