Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wakati mwingine shida zenu ndo zinawafanya wanaume wakimbie sasa wewe nimekotongoza hata wiki mbili bado mizinga imeanza, naamka asubuhi nakutana na tafadhali nipigie/niongezee hela, mdogo wangu amefukuzwa shule, mama/baba wananaumwa lakini kumbe uongo, uongo sasa ndo usiseme!!, unaniita dukani kuja nakuta umeshika nguo/viatu vya elf 50 maisha yenyewe haya ya Magu, bado kusuka sijui kodi ya room eee!! yote hayo mimi tu!!! lazima wanaume wakimbie tu.
Hizi mambo hizi wakati mwingine mizinguo, nakumbuka wakati fulani niliwahi kuwa na mdada mmoja, yaani akikupigia simu ni mzinga tu, asubuhi anataka pesa, jioni tena! Kibaya zaidi siku moja nilikuwa terrorized, Kanisubiri mahali ile kufika tu namkuta dukani, kashachagua vitu anataka kulipiwa, Aisee tulimalizana siku hiyo hiyo, Tulivyoachana ndio ikawa mwisho.
 
Hiyo ni probation period mama, usipokidhi vigezo huwa tunachomoka tu sie ya nn kukaa na jipu lilioiva?
 
Mi huwa nikiona demu siendani nae najiweka pembeni mwenyew kimyakimya,tena Huyo jamaa anaweza kuwa na huruma wengine ni wazaifu hatuwezi kukwambia direct ila tutakuonesha sign tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo mabinti ukitongozwa wanajua umependwa .. wanaume wengine huwa wanatongoza kwa starehe tu na hawamaanishi sasa wewe kuambiwa umependwa basi moyo mwili wote kwake ..
Wanawake kama nyinyi mpo wachache sana. Cjui nan kakupa hii elimu

sent from using iphone 7+ mobile app
 
Hizi mambo hizi wakati mwingine mizinguo, nakumbuka wakati fulani niliwahi kuwa na mdada mmoja, yaani akikupigia simu ni mzinga tu, asubuhi anataka pesa, jioni tena! Kibaya zaidi siku moja nilikuwa terrorized, Kanisubiri mahali ile kufika tu namkuta dukani, kashachagua vitu anataka kulipiwa, Aisee tulimalizana siku hiyo hiyo, Tulivyoachana ndio ikawa mwisho.
mkuu mimi hata sina hamu na hawa viumbe yaani mda mwingine unajiuliza huyu mtu ana lengo gani na mimi!!! yaani mizinga kwake ni sijui kama nini!!!

miezi michache iliyopita nilikuwa na mdada ambaye hataki fashion mpya ya style ya kusuka, nguo, kiatu kila aina ya takataka impite nikaona huyu atanitoa roho!!!
 
Wengine ni ulimbukeni tu, utawaweza basi hawa watu yaan hata wao hawajitambui. Kikubwa ni kupenda nusu tu ili akizingua basi unamuacha aende.

Ndivyo navyofanyaga....
 
una mashauzi ya kijinga..

unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....

hujiamini

chagua linalokufaa

Yani hapo kwenye mastory ya kifala ndo penyewe kuna binti niliwahi date naye alikuwa story zake ni kaka kaka, mama mama, baba baba yani muda wote anakwambia kuhusu ndugu zake na wazazi wake anawapamba pamba nikaona anaboa ikabidi nijikatae na kupotea ghafla
 
kagundua siyo type yake..

alikuwa anataka kitumbua labda kapata..

ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa

labda unaboa na kuchosha

una mashauzi ya kijinga..

unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....

hujiamini

chagua linalokufaa


la kwanza na la pili linaweza kunifaa...
 
Yani hapo kwenye mastory ya kifala ndo penyewe kuna binti niliwahi date naye alikuwa story zake ni kaka kaka, mama mama, baba baba yani muda wote anakwambia kuhusu ndugu zake na wazazi wake anawapamba pamba nikaona anaboa ikabidi nijikatae na kupotea ghafla
Wanaboa sana
 
Na kweli nisaidie kubeba maumivu......


umemcheki tena huyo kiraka?hebu fumba macho kuwa smart kwa kila kitu utaona km hujampata wa maana! kaa mbali na magenge ya ajabu ajabu..saa zingn groups zinafanya mtu ushuke kiwango... la mwisho km bado age inadai RUDI KUSOMA
 
Back
Top Bottom