Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Yeah kama mtu "is not inot you" haraka haraka ata loose interest on you... at least huyo kachukua hata hizo two weeks... saa zingine first date ndiyo inakuwa ya "kwanza na ya mwisho"

Yooomaaweeeeeeeeee!!! Too bad kwakweli!
Kama mimi najikokijee nipate kiki lol mbona nuksi hio Smart911 wangu lol kuanza na kuanza mtu mtu aepe mhmmhmhmhmh!!



Mahondaw wa Smart911
 
hio mm nimefanya sana ..bt kwa sababu hz
1. unaanza kumjua manz fresh unagundua ni mlevi angalau hata amgekua mnywaji mlevi kabsa anashusha vitu vikali tu ukiiona txt yangu nxt day ujue huchati na mm

2. wiki za mwanzo tu mizinga hahaha hutoniona kamwe

3.unatumia bangi au sigara

4.sometime unakua bored,,imagine unakutana na manz siku nzima unaongea ww yy yuko tu kimya mwishon unaanza kujistukia unamboa hapa lazma nimpotezee

5 dharau na kiburi hua sinaga discusion na hili

6 umalaya sometym unaeza kuijua tabia ya mtu mapema tu lazma niamshe hapo
actually ziko nyinh hzo ni baadhi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niulize swali kwa wana JF hasa wanaume,

Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.

Mwingine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei simu zako wala SMS hajibu.

Hivi hii inatokana na nini?
Kishaona.....mwanamke hamna humo...kwn mwwnaume anayekupenda atataka kuwa na ww kila wwkati na pia atatamani kuongea na ww kwa simu au sms muda wote....hakika PENZI LA MWANZO TAMU SN.....ukiona kakimbia wala usihangaike.....elewa atakuja wako wa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine shida zenu ndo zinawafanya wanaume wakimbie sasa wewe nimekotongoza hata wiki mbili bado mizinga imeanza, naamka asubuhi nakutana na tafadhali nipigie/niongezee hela, mdogo wangu amefukuzwa shule, mama/baba wananaumwa lakini kumbe uongo, uongo sasa ndo usiseme!!, unaniita dukani kuja nakuta umeshika nguo/viatu vya elf 50 maisha yenyewe haya ya Magu, bado kusuka sijui kodi ya room eee!! yote hayo mimi tu!!! lazima wanaume wakimbie tu.

Jaman kwan nani kaomba yote hayo?
 
wewe kama hauombi/kupiga mizinga hata pasipo stahili naomba nije pm tuyajenge!!

Mimi sio wa ghali sana,kama upo single ninunulie tu lunch nirudishie nauli yangu, kama una mke nipe tu elf 50 game linaenda
 
Ukiona hivyo ujue unaomba sana pesa..

Wala hata nlikua sijagusia pesa sanasana alininunulia lunch na kunipa nauli kwa matakwa yake. kuhusu papuchi nlimwambia tukapime kwanza halafu pia tutatumia condom.....
 
Back
Top Bottom