GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,006
- 712
nimemtania tu mwaya.labda aende akanye kinyesi hapo mlangoni kwake
😀😀😀 Unabalaa wewee..duh!
nimemtania tu mwaya.labda aende akanye kinyesi hapo mlangoni kwake
kilichomtoa nduki huyo ni suala la kupima ngoma na wewe alikuchukulia "for pleasure" not otherwise.Naomba niulize swali kwa wana JF hasa wanaume,
Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.
Mwingine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei simu zako wala SMS hajibu.
Hivi hii inatokana na nini?
Yaah wajikuta umesahau kutongoza na pia huwa tunajaribu mbinu mbalimbali maana wakati unabadilika sasa lazima uende nao sambambaduh hilo nalo neno..
me wananiitaga majina mabaya eti unamganda mwanaume kisa mlitiana mfyuuuu kwani alitoka nacho wakafie mbele
Sawa mkuu kunitiaAaah bana 'kutiwa' anatiwa wa kike tu dadake..vipi bana!!
Kwa nini unawatafuta mwenyewe?! Wanakuona you're needy of them ndo maana wanakupuuza.. Akikupotezea na wewe potezea tena futa kabisa na namba yake halafu life liendelee kama kabla ya kumfahamuNdio hivyo mkuu utakuta mwengine mpaka upost picha facebook ndio anakutumia kimessage eti amebanwa na kazi, mwengine ndio kapotea mazima
Hua sipo comfortable kumeet na online people. Ya online tuyaendeleze online na sio kwenye actual worldila kwa uzoefu wangu nadhani wanaume wengi wa jf sina uzoefu na fb ni wazushi tu hawajitambui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanzo datings na kuchat ni kusomana.. sasa may be kuna vitu amekusoma kwenye maongezi tu akajua huyu ni kilaza akaona bora asepe... huchelewi kuta ulimletea story za harusi na mashela siku ya kwanza tu
Hasa akishamegaNaomba niulize swali kwa wana JF hasa wanaume,
Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.
Mwingine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei simu zako wala SMS hajibu.
Hivi hii inatokana na nini?
Kwani MTU akila papuchi yako lazima muoane mkuuyap ni vibaka tu wa papuchi.wanajua kupretend waapo sirias na maisha kumbe ni wahuni tu wasio na ustaarabu wowote
Basi ulileta pozi la k mkuuDuuh ee bwana eeh....ila tulikua hatujasex bado.....
Aliyotegemea yaliyomo hayamo lazma asepeNaomba niulize swali kwa wana JF hasa wanaume,
Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.
Mwingine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei simu zako wala SMS hajibu.
Hivi hii inatokana na nini?
Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.
Mwingine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei simu zako wala SMS hajibu.
Hivi hii inatokana na nini?
Duhkagundua siyo type yake..
alikuwa anataka kitumbua labda kapata..
ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa
labda unaboa na kuchosha
una mashauzi ya kijinga..
unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....
hujiamini
chagua linalokufaa