Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,084
😀😬dotaa nikuwekee kwa namba ile ile?
View attachment 3509137
😀😬dotaa nikuwekee kwa namba ile ile?
View attachment 3509137
Ninaziishiiii katika jina la YesuVipi unajitahidi lakini kuziishi sifa hizo?
UbarikiweNinaziishiiii katika jina la Yesu
Thread Closed!Usihadaike na neno "daddy "!
Shetani anataka, MUNGU naye anatakaKwanini lakini uwe na mahusiayna vitoto vidogo?
AiseeSawa ukute dady ni mume wake fake tu ambaye ana mke na family na hamfanyii hayo mkewe wala watoto wake. Mi baba tulikuwa tunamuita mnyama daaah yote sbb ya ukatili alokuwa nao alikuwaga anampga mpk dada yake wa damu ambaye ni shangaz yetu ambaye alikuwa na miaka almost kama 40+ enz hzo lakn ilikuwa kiktokea kpgo na nyumba nzma tena na mkanda wa taa kama mnaujua mkanda fulan hv ukpgwa unazunguka mwili mzma na unakuchana ngozi ndan alikuwa ana miliki visu vya hatari sn maza akawa anatwambia iweni makini baba yenu sku atatuua wote humu ndani maana huku room kuna visu vya kila aina, ukweli nina miaka kama 7 hivi sjawai kanyaga home na wala sina mpango ni story ndefu.
Tuishie hapaUsihadaike na neno "daddy "!
Huwa ndio maneno yanayotumika siku hizi!!
Usihadaike na neno "daddy "!
Huwa ndio maneno yanayotumika siku hizi!!
NIna uhakika alikua baba yake halisiIn a positive way; Wanaume tuna chakujifunza. Tusichukulie kila kitu negative
Na je kama ni baba yake halisi?
Safi sanaKuna Bond najaribu kuitengeneza baina yangu na wanangu.
Bond hii naamini watairithisha vizazi na vizazi na itakuwa kumbukumbu njema kwangu...
Imebidi nicheke kwanza, siku hizi kuna majina kama mamii, daddies, baba yakimaanisha mabuzi.Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ?
Siku moja nipo saloon
Alifiki binti m,moja
Baada ya kuketi
Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi
HER > GOOD MORNING DADY
HIM > MORNING DOTAA
HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ?
HER > SIM YANGU HAINA SALIO LAKINI PIA NIKO SALOON NAHITAJI KUOSHA NYWELE
HIM > NAKUWEKE PESA YA SALIO NA YA SALOON 200,000 ITATOSHA ??
HER > YES DADY ITATOSHA
THEN WAKAAGANA
Nikaongea moyoni kumbe kuna wa baba wana upendo hivi kwa ma binti zao
Wanazungumza kirafiki kwa upendo
Huku nikajisemea wakati mimi nikisikia sauti ya baba yangu NATETEMEKAAAAA baba yetu tulikua tuna muita Ghadafi
Wanaume wapendeni watoto wenu wa kike
Wapeni kipaumbele
Na wao hawotasahau upendo wenu kamwe,
📌📍🔨Kama kuna kitu nataka wanangu wanikumbuke nacho ni upendo juu yao,najua vile vile ni mbegu ambayo nayo watairithisha kwa vijana wao
Daah 😭Sawa ukute dady ni mume wake fake tu ambaye ana mke na family na hamfanyii hayo mkewe wala watoto wake. Mi baba tulikuwa tunamuita mnyama daaah yote sbb ya ukatili alokuwa nao alikuwaga anampga mpk dada yake wa damu ambaye ni shangaz yetu ambaye alikuwa na miaka almost kama 40+ enz hzo lakn ilikuwa kiktokea kpgo na nyumba nzma tena na mkanda wa taa kama mnaujua mkanda fulan hv ukpgwa unazunguka mwili mzma na unakuchana ngozi ndan alikuwa ana miliki visu vya hatari sn maza akawa anatwambia iweni makini baba yenu sku atatuua wote humu ndani maana huku room kuna visu vya kila aina, ukweli nina miaka kama 7 hivi sjawai kanyaga home na wala sina mpango ni story ndefu.
Kwani tunakataa basi, ila tunaongelea trend ya maisha ya vijana wetu sasa hivi.In a positive way; Wanaume tuna chakujifunza. Tusichukulie kila kitu negative
Na je kama ni baba yake halisi?