Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

Sawa ukute dady ni mume wake fake tu ambaye ana mke na family na hamfanyii hayo mkewe wala watoto wake. Mi baba tulikuwa tunamuita mnyama daaah yote sbb ya ukatili alokuwa nao alikuwaga anampga mpk dada yake wa damu ambaye ni shangaz yetu ambaye alikuwa na miaka almost kama 40+ enz hzo lakn ilikuwa kiktokea kpgo na nyumba nzma tena na mkanda wa taa kama mnaujua mkanda fulan hv ukpgwa unazunguka mwili mzma na unakuchana ngozi ndan alikuwa ana miliki visu vya hatari sn maza akawa anatwambia iweni makini baba yenu sku atatuua wote humu ndani maana huku room kuna visu vya kila aina, ukweli nina miaka kama 7 hivi sjawai kanyaga home na wala sina mpango ni story ndefu.
Pole sana mkuu
 
Aisee😢
Mungu awasaidie mkawe na upendo kwa familia na kwa wanaowazungua. Msirithi mitabia mibaya ya baba yenu.
 
Yule Mzee wangu umuite daddy?? Mmh Kuna watu tumelelewa na wazaz ambao hakuna mazoea Yale ya ukaribu na mzaz mambo ya kuchekeana chekeana No na hii sijui sababu tupo wengi wazaz walikua hawana first born Wala last born tumejengewa kua na nidham Tena nidham haswa Kwa wazaz na watu wakubwa nimeyafurahia sana hayo malezi
Wanaume mnalelea watoto wenu wa kike kimadeko sana akipiga simu baba iki nataka baba kile nataka basi utahangaika mpaka uumpe wasichana wengi naona wako Ivo haswa hawakizazi puuh had aibu
Upendo na mapenzi kwa familia kunahusiana nini na kuvunjiana heshima??
 
Hii Id ya Mwanamke wa mithali 31 nilipoiona kwa mara ya kwanza wiki iliyopita ilibidi nisome biblia mithali 31 nijue inasemaje,kama hivi ndivyo ulivyo hata nusu yake basi hongera

Mithali 31
1 Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake.

2 Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?

3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.

4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?

5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.

6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

8 Fumbua kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu; Uwatetee watu wote walioachwa peke yao;

9 Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki; Uwapatie maskini na wahitaji haki yao.

10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.

11 Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.

12 Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.

13 Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.

14 Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.

15 Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.

16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.

17 Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.

18 Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.

19 Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.

20 Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.

21 Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.

22 Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.

23 Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.

24 Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.

25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.

26 Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.

27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.

28 Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,

29 Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.

30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.

31 Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
 
Hahaha!
Inawezekana uyasemayo mkuu…Lakini mimi sio Gen zii, mimi ni mmoja wa wanaowatuliza hawa ma Gen zii.
Usijaribu kuwatuliza, litakukuta jambo. Hiki kizazi no tofauti kabisa na sisi!!
 
Ahsanteeeee
 
Usijaribu kuwatuliza, litakukuta jambo. Hiki kizazi no tofauti kabisa na sisi!!
Wana moto sana😁
Kuna siku nikawakuta wakike na kiume wanaitana familia. Nikamwambia wa kiume hutakiwi kumuita hivyo, huyo ni dada yako. Wakaniuliza wewe ni mwalimu? 😁
Wanaamini mwenye visheria vya kuwarekebisha ni mwl. tu.
 
Mm nina mabinti watatu wakubwa na vijana wa kiume watatu..
Huwa napga nao stori sana kama mtu na mdogo wake bila kuvuka mstari wa heshima kati ya watoto na mzazi..
Sijawahi kuamini katika kupga mtoto hadi sasa..

Ukiwa mkali unajifanya FFU kwa watoto, hapo huwa ni chanzo cha watoto kuona nyumbani kama jehanum hvo huamua kutafuta paradiso kwingne.

wazazi tusifunge milango kwa watoto wetu hadi wakashndwa kueleza shida zao kwa wazazi, kumbuka wewe ndo baba yao..

ishi na watoto vzr hadi wasipokuona hata masaa 3 waone kero.. si ukiwa unarudi nyumbani watoto wanaanza kusinzia kwa lazima kisa dingi kafika.

ALL IN ALL, MTANGULIZE SANA MUNGU MAANA HAO WATOTO ULIO NAO "MUNGU ANAWATAKA, NA SHETANI ANAWATAKA HAO HAO"
 
Back
Top Bottom