Sawa ukute dady ni mume wake fake tu ambaye ana mke na family na hamfanyii hayo mkewe wala watoto wake. Mi baba tulikuwa tunamuita mnyama daaah yote sbb ya ukatili alokuwa nao alikuwaga anampga mpk dada yake wa damu ambaye ni shangaz yetu ambaye alikuwa na miaka almost kama 40+ enz hzo lakn ilikuwa kiktokea kpgo na nyumba nzma tena na mkanda wa taa kama mnaujua mkanda fulan hv ukpgwa unazunguka mwili mzma na unakuchana ngozi ndan alikuwa ana miliki visu vya hatari sn maza akawa anatwambia iweni makini baba yenu sku atatuua wote humu ndani maana huku room kuna visu vya kila aina, ukweli nina miaka kama 7 hivi sjawai kanyaga home na wala sina mpango ni story ndefu.