Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,339
- 3,094
Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ?
Siku moja nipo saloon
Alifiki binti m,moja
Baada ya kuketi
Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi
HER > GOOD MORNING DADY
HIM > MORNING DOTAA
HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ?
HER > SIM YANGU HAINA SALIO LAKINI PIA NIKO SALOON NAHITAJI KUOSHA NYWELE
HIM > NAKUWEKE PESA YA SALIO NA YA SALOON 200,000 ITATOSHA ??
HER > YES DADY ITATOSHA
THEN WAKAAGANA
Nikaongea moyoni kumbe kuna wa baba wana upendo hivi kwa ma binti zao
Wanazungumza kirafiki kwa upendo
Huku nikajisemea wakati mimi nikisikia sauti ya baba yangu NATETEMEKAAAAA baba yetu tulikua tuna muita Ghadafi
Wanaume wapendeni watoto wenu wa kike
Wapeni kipaumbele
Na wao hawotasahau upendo wenu kamwe,