- Thread starter
- #81
Ungekataa kula na mbuz katoliki ngeona sawa
Kwani nini maana ya rafiki ndugu
Ungekataa kula na mbuz katoliki ngeona sawa
Kilichokusumbua wewe ni Mwanaume uliyemwacha lodge mlikofikia
Asingekuelewa
Alikuwa na muonekano gani kwani
kosa ni kufunga mlango, ila kukwambia ulale kawaida tu.
mlikula kitimoto akapata nguvu, alikuwa anatengeneza namna ya kutumia nguvu alizopata
Urafiki kati ya Mwanamke na Mwanaume upo vizuri tu ila inategemea na nyie wenyewe mkoje (kikubwa msijenge mazingira tatanishi yakavunja urafiki wenu maana Kila mtu anaweza akawa anaheshimu urafiki ila Kuna mazingira mkiwepo ukichanganya na aina ya story mnazopiga mnaweza mkashangaa mnaamka wote kwenye kitanda kimoja bila kutongozana)
Wewe unakwenda kwake usiku upafahamu ili iweje sasa (Bora hata angekuwa na familia utasema unaenda kumsalimia wifi yako, sasa unaenda kuangalia ghetto lake la nini wakati huwezi kulala hapo hata hiyo siku nyingine ukija)
Tena hao wanaojidai wastaarabu ndio uwaogope kabisa.Yupo smart tu yaani hana mambo ya kihuni yaani sijawah kusikia skendo mbaya kwake wala kuona ana uhuni so nilijua ni mtu wa misimamo
Kwahiyo mfano wewe kama hujavutiwa na mwanaume, ukiwa nae gheto kwake mko wawili peke yenu, shetani atakupitia uta-sex na huyo mwanaume? 🤔 HannahUmeshasema “kama hajakuvutia”.
Lakini hata kama hajakuvutia mkianza mambo ya kualikana twende ukapaone nyumbani shetani lazima apite.
Mimi kama mwanamke shetani hawezi kunipitia. Anayepitiwa na shetani ni mwanaume na kuanza kulazimisha vituKwahiyo mfano wewe kama hujavutiwa na mwanaume, ukiwa nae gheto kwake mko wawili peke yenu, shetani atakupitia uta-sex na huyo mwanaume? 🤔 Hannah
Angeomba taratibu ungempatia ?Ni rafiki yangu sana tunapeana madili mengi ila suala la kunilazimisha nilale kwake kwa nguvu mpk kunifungua mlango limeniudhi sana… na nia hubadilika inawezekana alikuwa nayo nzuri ila baadae angebadilisha nia
We jua kwamba nyege zilimzidi msamehe Urafiki uendelee.Sio siku ya kwanza ni rafiki wa muda mrefu sijui hiyo siku aliingiwa na pepo gani
Hata mimi, kama mdada hajanivutia, shetani hawezi kunipitia, nikiwa geto moja na mdada ambae sijavutiwa nae, na tuko peke yetu, nitapiga nae tu story, sitamuomba sex HannahMimi kama mwanamke shetani hawezi kunipitia. Anayepitiwa na shetani ni mwanaume na kuanza kulazimisha vitu
Shetani 😈 akipita na nyie mnapita naye.Umeshasema “kama hajakuvutia”.
Lakini hata kama hajakuvutia mkianza mambo ya kualikana twende ukapaone nyumbani shetani lazima apite.
EVA alipitiwa na nani ?! Na KENGE auMimi kama mwanamke shetani hawezi kunipitia. Anayepitiwa na shetani ni mwanaume na kuanza kulazimisha vitu