Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

S
Haiwezekani mimi na yeye kuwa wapenzi ( nilishawai kuwa na uhusiano na ndugu yake japo sio ndugu yake in such
Sasa humanity kumpa lawama yeye kama mwanaume, mazingira ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke yeyete yajawai kuwa clear always mwanamke anaweza toa excuse unachotoa hapa ni excuse tu yeye hajavunja sheria yeyote bali kafanya unable wake na kukuheshimu wewe kama kimbe cha kike basi.

Hata wewe ungekuwa mwanaume undertake yeye
 
duh tuko tofauti. mimi demu akiniwekea tu ushkaji na ikatokea tumepiga dili basiiii hata kama mwanzo nilimtamani hisia zinayeyuka nakua namuona kama dada..

Yaweza kuwa sawa lakini ukaribu wowote hasa wa kula nyumba moja ni hatari sana.
Unaweza kujilaumu.

Urafiki wa mwanaume na mwanamke upo ule wa mbali.yaani mmoja yupo Temeke mwingine yupo Sinza. Mnakutana maeneo ya wazi. Hapo sawa
 
Ndio maana nilitaka kuondoka
Baada ya kwenda, usiku, kwa mwanaume, uliyekula kitimoto chake. Kwani huvutii na una sura mbaya kiasi kiasi kwamba ulifikiri kuwa huyu mtu hatakutamani wakati anakuambia uende kwake?
 
Jamaa hana kosa , ni mwanaume rijali huyo mtoto mzuri kama wewe unajileta hadi getto ukiwa na kisingizio cha urafiki iweje sasa tena usiku Umempa mtoto wa watu majaribu halafu unamtolea maneno mabaya ,halafu ukute ulivyokuwa ukijiachia mwenyewe
 
Hapo unajidanganya, rafiki yako ni huyo anayekugonga.
Hao marafiki wengine ni umalaya wako tuu.
Hiyo tabia ya kuwa na urafiki na watoto wa kiume iache mara moja.

Na ulikuwa unajirengesha, ndiyo maana akawa na confidence ya kutaka kukumega.
Siwezi kuliwa na rafiki bro nipo na mahusiano yangu yeye ni rafiki tu[emoji41ndo
 
Umechelewa sana kujua kwamba hamna urafiki kati ya me na ke. Pole sana.
Mbona mimi naweza kuwa na urafiki usio wa kingono na mdada, tukapiga tu story fresh na kusaidiana as if yeye ni mwanaume mwenzangu (kama mdada hajanivutia lakini) Hannah
 
Sasa na wewe unamnyimaje rafiki yako sasa hapo faida ya urafiki ipo wapi?, ungempa tu ili mradi haondoki nayo.
 
Back
Top Bottom