Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

Urafiki kati ya Mwanamke na Mwanaume upo vizuri tu ila inategemea na nyie wenyewe mkoje (kikubwa msijenge mazingira tatanishi yakavunja urafiki wenu maana Kila mtu anaweza akawa anaheshimu urafiki ila Kuna mazingira mkiwepo ukichanganya na aina ya story mnazopiga mnaweza mkashangaa mnaamka wote kwenye kitanda kimoja bila kutongozana)

Wewe unakwenda kwake usiku upafahamu ili iweje sasa (Bora hata angekuwa na familia utasema unaenda kumsalimia wifi yako, sasa unaenda kuangalia ghetto lake la nini wakati huwezi kulala hapo hata hiyo siku nyingine ukija)
 
Kwa namna tunavoheshimiana sikuwaza Hilo Halafu aliposema anaishi na mdogo wake nikawa na amani
 
Yupo smart tu yaani hana mambo ya kihuni yaani sijawah kusikia skendo mbaya kwake wala kuona ana uhuni so nilijua ni mtu wa misimamo
Tena hao wanaojidai wastaarabu ndio uwaogope kabisa.
 
Saa 3 na dakika 20 usiku unakwenda kuangalia nyumba ya mwanaume huo kama sio umalaya ni nini??!! tuwe wakweli, jaribu kufikiri kama huyo mwanaume
 
Na kitimoto yakee ukala ,

Hiv hyo ktu hamjajua tuu, kat ya urafak wa mwanamke na mwanaume kuna unafk kat ya mmoja wao
 
Tatizo mkitongozwa mnalalamika msipotongozwa mnaita watu juma lokole.
 
Umeshasema “kama hajakuvutia”.
Lakini hata kama hajakuvutia mkianza mambo ya kualikana twende ukapaone nyumbani shetani lazima apite.
Kwahiyo mfano wewe kama hujavutiwa na mwanaume, ukiwa nae gheto kwake mko wawili peke yenu, shetani atakupitia uta-sex na huyo mwanaume? 🤔 Hannah
 
Kwahiyo mfano wewe kama hujavutiwa na mwanaume, ukiwa nae gheto kwake mko wawili peke yenu, shetani atakupitia uta-sex na huyo mwanaume? 🤔 Hannah
Mimi kama mwanamke shetani hawezi kunipitia. Anayepitiwa na shetani ni mwanaume na kuanza kulazimisha vitu
 
Rafiki wa kweli atakupea japo kidunchu.. 😂😂
Yaani ukiwa na shida ya 50k siwezi kushindwa kukupa 40k na 3k ya kutolea. Huo ndio urafiki, tupeane. 😂
 
Attachments

  • cheka_time__20240218_57.jpg
    cheka_time__20240218_57.jpg
    63.8 KB · Views: 3
Ni rafiki yangu sana tunapeana madili mengi ila suala la kunilazimisha nilale kwake kwa nguvu mpk kunifungua mlango limeniudhi sana… na nia hubadilika inawezekana alikuwa nayo nzuri ila baadae angebadilisha nia
Angeomba taratibu ungempatia ?
 
Mimi kama mwanamke shetani hawezi kunipitia. Anayepitiwa na shetani ni mwanaume na kuanza kulazimisha vitu
Hata mimi, kama mdada hajanivutia, shetani hawezi kunipitia, nikiwa geto moja na mdada ambae sijavutiwa nae, na tuko peke yetu, nitapiga nae tu story, sitamuomba sex Hannah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom