Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

Angeomba taratibu ungempatia ?

Nishasema rafiki sasa hiyo kupatiwa nampatia vipi kiufupi mimi namchukulia Kama kaka… sasa kaka na dada huwa wanakulana??
 
Ukute jamaa ni member wa jf na Uzi wake pendwa ni ule wa kula/kuliwa kimasiahara
 
Sio siku ya kwanza ni rafiki wa muda mrefu sijui hiyo siku aliingiwa na pepo gani
Wewe hujakomaa kiakili!!

Ungemweleza vizuri tu kuwa hujajiandaa kuliwa na yeye hata nikilala hutanila coz hisia za kuliwa huna!!

Angeishiwa Hadi pozi na nguvu na siku mngekutana angeona aibu ya kukuangalia na wewe ndio ungekua was kwanza kumsemesha ukijifanya hakukutokea lolote!!

Nguvu ya matusi imekuza uadui tu lakini ungemwambia laivu hujajiandaa na hilo hata nikilala hutoafanya chochote !!!
 
Nishasema rafiki sasa hiyo kupatiwa nampatia vipi kiufupi mimi namchukulia Kama kaka… sasa kaka na dada huwa wanakulana??
Jamaa ashatangaza nia sasa wewe unalazimisha undugu! na unaenda usiku wa manane kwa rafiki wa kiume ambae sio mtoto wa mama ako wala baba ako unatafuta nini kama sio kuliwa kimasihara.
 
Baada ya muda,hata marafiki wa zamani hugeuka kuwa mashetani,
Kuna jamaa yangu, simu yake iliita, nikamuambia mbona hupokei, aliyekuwa anampigia namjua, akasema, sasa hv nabadirisha marafiki, sio vzr kuwa na marafiki wa zamani, MTU ni rafiki yako Leo, mmeshibana,mnapotezana kwa miaka 5+, mkikutana sio vzr kuwa na ukaribu kama wa zamani, people change,
 
Rafiki wa kweli ni yule akufaae kwemye shida...sasa ww mshikaji wako kichwa cja chini kimemzingua si ungempa kimoja akatulia tuliiiii.Mwaka jana nilienda dom kuna mishe nilienda kufanya ile nazunguka nikabahatika kukitana na classmate wangu wa shule ya msingi alikua ni rafiki yangu hasa.Ile kuniona akasema lazima nipajue kwake.Nilienda kwake na kilicho tokea ni ma blessing kama yote.
 
Kuna Ke kazini anataka tuwe marafiki, sasa mimi napofeli namuomba mzigo anakataa mi naona poa maisha yanaendelea, kwa sababu muda mwingi tupo wote kazini hachelewi kujisogeza sogeza mazoea ya kirafiki mimi naomba mzigo tena
 
Pole sana. Lakini ijulikane sio wanaume wote tuko hivyo. Hata kama ulikuwa kwenye list ya "wale ninaotaka kulala nao" za kutoka ends hizooooo
Wengi wana shindwa kutofautisha fantasy and reality. You both moved on. Sema tena kuna tabia ya kujaribu bahati, gonga hodi uone kama utakaribishwa. Usikate tamaa na wengine wote waliyo baki lakini chukua tahadhari ya kuweka mipaka ya urafiki.
 
Back
Top Bottom