Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,812
- 55,626
Pole sana mkuuSio siku ya kwanza ni rafiki wa muda mrefu sijui hiyo siku aliingiwa na pepo gani
Pole sana mkuuSio siku ya kwanza ni rafiki wa muda mrefu sijui hiyo siku aliingiwa na pepo gani
Ungeliwa vibaya sana binti, mtu anakwambia eti uende ukapaone kwake usiku na ww unaenda![]()
Pole sana mkuu
Tafuta rafiki wa kike
Bora angekukula, uliona wapi urafiki wa swala na simba?

Kumbe ulijua kuna majaribu?Nilimuamini kwasababu niliona ana aminika halafu alisema tu upite upaone na Mimi sikutaka kukaa sana hata nusu saa haikuisha nikasema sio vizuri kukaa zaidii nisimtie majaribuni kaka wa watu niondoke ila yeye akaona kapata chaka
Ngoja Mamong'oo waione hii.Huyo jamaa mshamba sana sio wa Kaskazini kweli huyo??
huyu ana asili ya uchoyo alitaka jamaa aililie atoe michozi debe agaregare ndio angemupaHuo ni urafiki wa nyoko
Mahesabu ya mwamba yamekataa. Acha uchoyo dada.
duh tuko tofauti. mimi demu akiniwekea tu ushkaji na ikatokea tumepiga dili basiiii hata kama mwanzo nilimtamani hisia zinayeyuka nakua namuona kama dada..Kikawaida hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke hasa wakiwa wanavutiana
Huyo jamaa mshamba sana sio wa Kaskazini kweli huyo??
Na angefanikiwa mukaja kuwa wapenzi siku ya ndoa unreported tulianza kama marafiki date your friend.
Kumbe ulijua kuna majaribu?
Kikawaida hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke hasa wakiwa wanavutiana