MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,417
- 40,270
AngekuMBATO
Upo mbona Mkuu tena wa kutosha sanaUmechelewa sana kujua kwamba hamna urafiki kati ya me na ke. Pole sana.
Hii ni moja ya kauli za dharau sana.Kwa muonekano wake hata sikutegemea hilo
Wewe umewahi kuwa nao?Upo mbona Mkuu tena wa kutosha sana
We gawa kitumbua hicho, utafikiri hujawahi kuliwa vile. Kitumbua ni kitu cha kumyima mtu kweli.Sio siku ya kwanza ni rafiki wa muda mrefu sijui hiyo siku aliingiwa na pepo gani
Huyo mpuuzi mbususu haiombwi kifala hivyo!...umefanya vizuri kumnyima kenge huyo.Ni rafiki yangu sana tunapeana madili mengi ila suala la kunilazimisha nilale kwake kwa nguvu mpk kunifungua mlango limeniudhi sana… na nia hubadilika inawezekana alikuwa nayo nzuri ila baadae angebadilisha nia
LA NGONOSio siku ya kwanza ni rafiki wa muda mrefu sijui hiyo siku aliingiwa na pepo gani
Basi na mawasiliano ndo basi Tena urafiki ndo ushakufa hakunaga urafiki wa mwanaume na mwanamke bila kugongana, hapo ndo basi Tena, wee pambana na mpenzi wako tuu ndo awe rafki yakoUzuri tunaishi mikoa tofauti aina madhara
UnA furahia nini sasa mkuu ?!Na bado🔥🔥
We mbona una omba, sasa ukiombwa kuna shida gani ?Pole sana
Urafiki wa mwanaume na mwanamke nj changamoto utaombwa tu