Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,509
- 3,040
Ungekataa kula na mbuz katoliki ngeona sawa
Umeshasema “kama hajakuvutia”.Mbona mimi naweza kuwa na urafiki usio wa kingono na mdada, tukapiga tu story fresh na kusaidiana as if yeye ni mwanaume mwenzangu (kama mdada hajanivutia lakini) Hannah
Hahahha labda wa kuchat bila kukutana. Maana tukikutana tu utabadili agenda “LAZIMA”.Naomba tuwe marafiki 😅
Alikuwa na muonekano gani kwani😂Kwa muonekano wake hata sikutegemea hilo
Uo ulazima uko wapi?Hahahha labda wa kuchat bila kukutana. Maana tukikutana tu utabadili agenda “LAZIMA”.
Like poles repel, unlike poles attract each other.tusiwaamini Hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke period ni suala la muda tu


Ulazima upo maana hauwezi kutembea na mua kama mkongojoUo ulazima uko wapi?
Haya huo huo wa kuchat
Hapo unajidanganya, rafiki yako ni huyo anayekugonga.
Hao marafiki wengine ni umalaya wako tuu.
Hiyo tabia ya kuwa na urafiki na watoto wa kiume iache mara moja.
Na ulikuwa unajirengesha, ndiyo maana akawa na confidence ya kutaka kukumega.
Yani hapo na urafiki umeisha mwanaume ukimchomolea anatamanigi hata ufe, utawekewa kiburi mpaka ujishtukie
Ungekataa kula na mbuz katoliki ngeona sawa
Kilichokusumbua wewe ni Mwanaume uliyemwacha lodge mlikofikia
Asingekuelewa
Alikuwa na muonekano gani kwani![]()
kosa ni kufunga mlango, ila kukwambia ulale kawaida tu.
mlikula kitimoto akapata nguvu, alikuwa anatengeneza namna ya kutumia nguvu alizopata

Urafiki kati ya Mwanamke na Mwanaume upo vizuri tu ila inategemea na nyie wenyewe mkoje (kikubwa msijenge mazingira tatanishi yakavunja urafiki wenu maana Kila mtu anaweza akawa anaheshimu urafiki ila Kuna mazingira mkiwepo ukichanganya na aina ya story mnazopiga mnaweza mkashangaa mnaamka wote kwenye kitanda kimoja bila kutongozana)
Wewe unakwenda kwake usiku upafahamu ili iweje sasa (Bora hata angekuwa na familia utasema unaenda kumsalimia wifi yako, sasa unaenda kuangalia ghetto lake la nini wakati huwezi kulala hapo hata hiyo siku nyingine ukija)
Tena hao wanaojidai wastaarabu ndio uwaogope kabisa.Yupo smart tu yaani hana mambo ya kihuni yaani sijawah kusikia skendo mbaya kwake wala kuona ana uhuni so nilijua ni mtu wa misimamo