Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

Uko sahihi kabisa mleta mada!
Huyu mama kuna kitu mahala hakikwenda sawa....
Haiwezekani kiongozi unakurupuka bila tafakuri wala majadiliano na hata kuomba ushauri.

Kisa tu sura yako imepambwa Dubai.

Nadhani kuna uwezekano kuwa kawekewa fungu kubwa sana kwenye akaunti yake huko Dubai.

Wanawake huwa ni wanyonge sana pale linapokuja suala la pesa mbele yao!

Tufike mahali watanzania tuache uoga tutoke na kusema "No" kwa hili jambo.
JamiiForums2076446202.jpg
JamiiForums-1957254544.jpg
JamiiForums1574589568.jpg
 
Zamani nilikuwa sielewi kwa nini sheria inalazimisha wanaogombea uongozi wa nchi lazima mababu wawe wazawa.hii ya just from other side of our beloved land imetoa majibu yote
 
Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.

Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.

Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.

Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.

Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.

Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.

Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.

Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Good idea
 
Fikiria mtu anapewa Urais, kituo chake cha kwanza anaenda kwa mjomba wake aliyepo Oman, mjombake anampeleka kwa kiongozi wa Oman. Ni sawa na mtu anayeebda kusema kuwa, mjomba, wamenipa nchi kule, naye mjomba anamwambia kuwa twende tukamjulishe kiongozi wetu.

Kitafsiri na kimantiki, Oman, wanaona wamepewa koloni kupitia uongozi wa mtoto wao.
Hii umeiweka vizuri, Samia ni kama ameenda kututoa zawadi kwa wajomba zake.
 
Huyu Mzee vipi tena? Ukisikia kubadili gia angani ndiko huku sasa, mwenye masikio na asikie.
 
Our President:

1) Represents the best interests of all of the people.

2) Represents our nation in talking with foreign nations for the best of our beloved Tanzania.

#Miluzi Mingi Humpoteza Mchungaji

#SiempreJMT

#Mama Anaupiga Mwingi
Mchungaji wa kweli kuwajua kondoo wake, na kondoo huijua sauti ya mchungaji wao.

Mchungaji wa kweli hujua mahali pa kuwatafutia malisho mazuri na kuwanywesha kondoo wake, huwaongoza njia iliyo sahihi ili wasipotee.

Huwalinda na wanyama wakali na hatari yoyote inayoweza kujitokeza.

Sasa kwa haya yote anachungaje huyu mchungaji?
 
Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.

Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.

Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.

Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.

Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.

Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.

Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.

Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Unachokisema kipo kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa rasimali ya mwaka 2017 kifungu cha 12 japo kinahusu rasimali za nchi ila Serikali haijatimiza takwa la kisheria ila ndio hipo mbion kwenda kubadilisha hicho kifungu ili mikataba yote ikaishie kwenye Baraza la Mawaziri.
 
Wabunge wa kupelekewa hiyo mikataba ndo akina Ndiyoooooo? Kifupi hakuna hoja itapita ndani ya bunge iliyoasisiwa na ccm isiungwe mkono. Wataunga mkono hoja.

Wale wanawaza hela tu
Ni kweli kabisa ulichokiongea.

Tukisema tuwaondoe kwa kuandamana watatupiga risasi, mabomu ya machozi na kutufungulia kesi za uhaini, watatufunga gerezani.

Tukisema twende mahakamani kufungua kesi,tutashindwa maana mahakama, mahakimu na Majaji ni wa kwao.

Tukisema tuwaondoe kwa sanduku la kura,hapa tutapoteza muda wataiba kura maana tume ya uchaguzi ni yao, watahonga na kuwatumia wasimamizi wa uchaguzi ili kura ziibwe na watangazwe wao.

Tukisema tuwaamini wapinzani, hawa hawatabiriki kuna wakati nao wanawekwa mifukoni na hawa hawa watawala, wananchi tunachezwa shere.

Tukisema tuwatumie viongozi wa dini, kuna baadhi wanamegewa mkate wa taifa na hawa hawa viongozi wa serikali wanageuka kuwa Mafarisayo na Masadukayo hata wasiweze kukemea uovu.

Tukisema tuloge hatuwezi maana wenzetu Wabunge wana hela zetu nyingi za kodi huwa wanatoa kafara za ng'ombe makumi makumi wakati sisi uwezo wetu ni kuku, bata na njiwa ,wameinajisi nchi yetu.

Wasomi wetu wako "busy "kukimbizana na fursa za chama na Serikali ili nao wafurahie mema ya nchi mpaka wanafikia kuingia mikataba ya kipumbavu inayoigharimu nchi, kwasababu wanaambiwa watapewa kidogo. Prof Mruma hakushindwa kujibu maswali isipokuwa mkataba ulikuwa wazi kwamba ulisainiwa kimakosa tangu awali,alibanwa akakosa mahali pa kutokea.

Mfano mkataba usainiwe hauna kikomo, hautavunjwa hata akiingia kiongozi mwingine.Sasa itokee umevunjwa (breach),huyu atakayekwenda nje kuutetea ataongea nini zaidi ya kujiumauma tu.

Nina wazo kwa Watanzania.

Hivi hatuwezi kuhamasishana sisi kwa sisi kumlilia Mungu kila mtu kwa wakati wake na tukajibiwa maombi kwa kuondoa huu udhalimu unaoendelea hapa nchini?

Tusiwategemee Viongozi wa dini eti kutusaidia kutuombea, tunaweza kuomba maana Mungu ni wetu sote ,anasikia maombi yetu, hatuhitaji bunduki wala panga kufanya mabadiliko.

Laana isiyo sababu haimpati mtu. Sisi sababu tunayo, tumewachekea sana wametuzoea sana.

Sisi tuna haki. Mithali 15:28

Wenye hekima wataelewa, ila wapumbavu na walevi wa madaraka watabaki kujibaraguza.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.

Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.

Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.

Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.

Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.

Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.

Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.

Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Too late, Tanzania ni mali ya Ccm.
 
Uko sahihi kabisa mleta mada!
Huyu mama kuna kitu mahala hakikwenda sawa....
Haiwezekani kiongozi unakurupuka bila tafakuri wala majadiliano na hata kuomba ushauri.

Kisa tu sura yako imepambwa Dubai.

Nadhani kuna uwezekano kuwa kawekewa fungu kubwa sana kwenye akaunti yake huko Dubai.

Wanawake huwa ni wanyonge sana pale linapokuja suala la pesa mbele yao!

Tufike mahali watanzania tuache uoga tutoke na kusema "No" kwa hili jambo. View attachment 2729912View attachment 2729913View attachment 2729915
Mama Amependeza sana

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Hatari sana. Baada ya huyu Mama Abdul kuondoka madarakani nchi itakua utumwani completely, kuna haja ya kuanza kuifuatilia kwa ukaribu mikataba yote ambayo ameisainia huko MAFICHONI
Nchi hii haijawahi kuwa na Rais hatari kwa mustakali wa nchi yetu kama huyu mama ; kwasababu anafanya mambo yote yanayohusu nchi kwa kificho ! She is not transparent !! Hivi sasa hata safari zake za nje anafanya kisirisiri haza za kwenda Oman kwa wajomba zake ambako anatayarisha makao yake muda wake ukifika!!
Cry my beloved country Tanzania , the compradors have decided to sell you in pieces to the Arabs and enslave your people!
 
Vipi umeamka vibaya nini? Unasema MoU hazipelekwe Bungeni kwa sababu ni makubaliano na siyo mikataba. Unasema kuwa IGA siyo mkataba ni makubaliano. Kwa hiyo IGA ilipelekwaji Bungeni wakati ni makubaliano, na makubaliano huwa hayapelekwi bungeni?
It was very wrong kuipeleka ile IGA Bungeni!.
Nimesema kila kitu hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
Kuulinda uwongo ni kazi ngumu sana, ndiyo maana Serikali imeshindwa, na wewe pia umeshindwa kabisa.
Duh...!.
Wote tunaoipenda nchi yetu TUSEME NO KWA MKATABA WA KISHENZI WA DP NA VIONGOZI DHULUMATI WANAOUZA RASILIMALI ZA NCHI YETU KWA MANUFAA YAO BINAFSI.
Tumekusikia
P
 
Back
Top Bottom