Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Kazi na dawaHivi kwanini kina dada wengine wakati wanatwanga, wanatwanga kwa mbwembwe na kupiga makofi kabisa? WEngine wanaimba na nyimbo na miguno juu; haiwezekani kutwanga tu vikaisha? Nazungumzia kutwanga nafaka ambazo zinahitaji wakati mwingine unyunyizie maji ili zitwangike vizuri. Nimeyaona haya kijijini. Wanaofahamu huu ufundi wa kutwanga.
R u sure?naona kina kaka tu ndio wanachangia so far!
Twanga kotekote