Wanapotwanga kwa mbwembwe!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929
Hivi kwanini kina dada wengine wakati wanatwanga, wanatwanga kwa mbwembwe na kupiga makofi kabisa? WEngine wanaimba na nyimbo na miguno juu; haiwezekani kutwanga tu vikaisha?

Nazungumzia kutwanga nafaka ambazo zinahitaji wakati mwingine unyunyizie maji ili zitwangike vizuri.

Nimeyaona haya kijijini. Wanaofahamu huu ufundi wa kutwanga.
 
ha ha haa,mkjj umekuja kivingine.vp mzee politiko zimekua ngumu kidogo huko?:teeth:
 
Hivi kwanini kina dada wengine wakati wanatwanga, wanatwanga kwa mbwembwe na kupiga makofi kabisa? WEngine wanaimba na nyimbo na miguno juu; haiwezekani kutwanga tu vikaisha? Nazungumzia kutwanga nafaka ambazo zinahitaji wakati mwingine unyunyizie maji ili zitwangike vizuri. Nimeyaona haya kijijini. Wanaofahamu huu ufundi wa kutwanga.
Kazi na dawa
 
mm nafikiri wanaonyesha ufundi wao, maana kijijini mara nyingi mziki ni nadra, so
they intertain themselves, ila kuna ambao hata wanakata kata kiuno nakwambia, basi tu
nawaombea furaha
 
Mwanakijiji leo umelalia upande gani?? na umeamkia upande upi?? Duh maana hiyo ni kali, mambo ya mitwango tena???????
Jamani MWakijiji naomba tu uifute hiyo mada kwa kweli....maana wengine tunaona aibu kuchangia hiyo mitwango.
 
Badala yakufanya kazi huku wakifikiria kufanya kazi....kitu ambacho kinachosha haraka wanafanya kazi huku wakijiburdisha!!
 
ok nolivyokuwa nasoma sentensi ya kwanza nilikuwa nafikiria kitu kingine kabisa...............
lakini baada ya kumaliza kusoma hiyo thead nikakosa jibu ..... samahani sana MM.......
 
CCM kwa kutwanga ni mwisho wa Matatizo.....

Ndiyo maana Dr. Slaa na Chedema hawakufurukuta Mtwara na Lindi.

Hata Bukoba kwa Wahaya, Chadema hawakufanya vizuri sana.

Kama unafikiri nawaonea CCM kwa kutwanga, hebu ona hii......

2.jpg
 
...na wakitwanga lazima wapepete!
shughuli si ndogo wallahi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom