Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Well said,huko mtaani kweni walioolewa ni la saba na form 4,na mleta hoja amesema wanaoolewa ni la saba na form four
hivyo wewe umethibitisha alichokisema mleta hoja.
Niseme kuwa wapo wasomi wachache wenye kuheshimu waume zao lakini majority akishasoma kuolewa ni celemonial
wengi siyo wife material.Ndo maana hata mtaani kwenu walioolewa wengi ni la

saba na form 4.

Sasa ulitaka niseme wachache wao wameolewa ilihali wao ndo wengi
walioko ukicompare na wasomi?
Usichukulie vitu juu juu tu kwa point moja uloiona wewe, rudi kasome huyo jamaa nilomjibu alikuwa kaandika nini ndi utaona nini nilichokuwa nimekilenga.
 
Mkuu inategemea na mwanamke mwenyewe! pale UDSM kuna prof mmoja yuko bize muda wote anagongewa mkewe na auxiliary police! na hapa kitaa kuna doctor alienda kwao kigoma kuoa mwanamke ambaye ni mrembo lakin hajui kusoma hata "A" cha ajabu anagongwa na muuza maji tu!
 
kweli kabisa mke ni wa nyumbani sio ofisini kama ofisi muhimu akaolewe na ofisi

Watoto hata hajui wamekula nini yeye yupo bize na ofisi.chakushangaza mwisho wa mwezi mshahara hauonekani
 
ha ha ha ha ha ha ha
wazee wa Zamani wasema
mwanamke hata awe na mali kiasi gani asipokuwa na mume kazi bure

hivi unajua sijawahi kukuomba hata shiling mia ?

proved
mwanamke asiyeolewa ana kisirani
ha ha ha ha ha ha
hatupo kutangaza mali kashindane na le mutuz


Mpe 2 mara 3 kwa kutwa. Atashka adabu na kidegree chake hapo
 
Maneno ya mkosaj mpoteze uyooo kwa taarifa yake ckiz akuna mwanaume anaeoa asie mfanyakaz ao wa lasaba na form for wanaishia kuolewa na madereva bodaboda uckute nae ni dereva bodaboda


Nayo kazi mama, au ulitaka wote tuendeshe jet?
 
Hawezi.hata kidogo maana anajua umuhimu wa elimu......na ukute ana mpango wa kumsomesha hata mkewe zaidi..........

Badala ya kumsomesha mkewe mbona ange solve mengi kama tayari angeoa aliyesoma badala ya kuwa na wasiwasi na elimu yake. Maana hapa wanaongelea kuoa darasa la 7/F4.
 
Kwa comment hii nimekubali kuwa wanawake wengi hamjitambui.Yan unajamini kabisa kwakusema kuwa hata leo ukiamua unaolewa eti kisa wanajigongagonga!Kwa akili hii ni halali kwenu kutumiwa na hatimae kuzeekea nyumban

Mkuu wengi wao degree wamepewa ofa tu na professor. Si unaona akli zao, pilipili tupu.
 
sina dem usinisingizie kabisa!

Kumbe huna? Ndo maana ukaja na lithread hili linaloreflect stress zako...?

Basi njoo unioe mimi jamani....hii degree wala isikutishe kwanza nlikuwa nadesa tu chuo...unadhani nina akili sana basi? wala usiogope degree....
Upweke unakusumbua....!
 
Kumbe huna? Ndo maana ukaja na lithread hili linaloreflect stress zako...?

Basi njoo unioe mimi jamani....hii degree wala isikutishe kwanza nlikuwa nadesa tu chuo...unadhani nina akili sana basi? wala usiogope degree....
Upweke unakusumbua....!
mi sikuwezi
 
Taratbu mama,bado nponpo sana! Hata nkitaka kuoa ntakuwa mbali na videgree vyenu hvo. Maana hadi umekapata kadegree hako gar ishasoma miles kibao

Ha ha ha eti videgree unafikiri mchezo unafikiri yale ni makalio kila mtu akawa nayo mwenyewe ka huna katafte tatizo lenu mnapenda kunyenyekewa tena sa hivi ni degree ya pili sasa hamna cha kusoma maili ngapi pole sana na standard seven yako wa big result now
 
Back
Top Bottom