Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Ndoa ni mipango, ukipanga muoa fulani, muingie akili mwake, mbadili akili.
Mbona CIA wanaweza kuingia akili mwa watu na kuwabadili na kuwafata wao kwanini sisi tysiweze?

Wachache wamefanikiwa wengi wamejutaa
 
wewe na kadegree chako utabaki kuwa chakula cha waume za watu
matusi yako kwangu mavi tu

Matusi nisehemu ya kushindwa mkuu labda anako kadgree lakini anapigwa danadana
 
Huku uswazi kwetu asilimia kubwa ni hao mnaowataka na wengine hawajasoma sana zaidi ya sunday school na madrasa tu then wakawekwa ndani. Lakini kutwa kucha wao ni mama shughuli tu na waume zao ndio hushindia viporo vya jana yake......tena si ajabu kumkuta baba mzima kasubiria chips kibandani au mihogo ya kukaanga gengeni daily.

Siku akikoroma sana anaishia kwenye ugali kwa miguu ya kuku anotumwa mtoto gengeni kwa mama pesa. Baadae utasikia we Sikitu subiri baba ako amalize kula utoe vyombo mi naenda kwa mama Ziada kuna arobaini ya kumtoa mtoto!!!
#KALAGABAHO
Well said,huko mtaani kweni walioolewa ni la saba na form 4,na mleta hoja amesema wanaoolewa ni la saba na form four
hivyo wewe umethibitisha alichokisema mleta hoja.
Niseme kuwa wapo wasomi wachache wenye kuheshimu waume zao lakini majority akishasoma kuolewa ni celemonial
wengi siyo wife material.Ndo maana hata mtaani kwenu walioolewa wengi ni la saba na form 4.
 
waoaji wenyewe wapo? au longo longo tu. sasa wewe shule ilikushinda uka-disco, unataka wa degree wa nini. mambo ya kujitia ndizini na hali sio utumbo....

Wajua ww c ndomana wengi ni michepuko?
 
mimi wa darasa la saba na form 4 nn kuoa hata kuongea nae tu siwez zaid ya salam tu mana naona hata mitazamo tupo tofauti kwanza wanakuaga na uswahil mwngi sana. wengine ndio tunawapenda hao wnye degree zao. darasa la saba na form 4 wataolewa na walokataa shule wenzao na vinuka mkojo wenzao mana ndio wanaendana nao. kla mtu na chaguo lake. nani anataka kuzaa watoto vilaza! kilaza na kilaza mwenzie hata vitabu vya dini vimesema hvyo 😛uke:

Wewe uko sawa omba umpate ukikosea usilete uzi
 
wanaume wenyewe wa siku hizi wavivuuuu....unaondoka kwenda kazini unamwacha amelala, unarudi unakuta ndo anaamka anakuuliza leo tunakula nini. sasa mtu na degree yako hiyo si ni headache tu, ni heri uolewe na hiyo degree au masters walau itakuletea maendeleo kuliko hao ma-looser!

Una degree kweli unamkubali wahivyo? Ndoma mkaambiwa hampati mume mtachukua wa mtindo huo.
 
Tujitahidi kuendeleza utamaduni wa kuitumia jf kama kioo cha jamii,inafundisha,inaonya na inafurahisha na kuondoa stress.
Hoja kama hii inapoletwa tuitumie kujipima badala ya kurusha makombora.wanawake wanapoleta hoja ya kuwaonya wanaume kuhusu mambo ya maisha wanaume watumie hoja hiyo kujipima,na wanaume wanapoleta hoja ya kuwaonya wanawake nao watumie hoja hiyo kujipima,kumbuka ndoa siyo uwanja wa ubabe ni mahali pa kubebeana mizigo(kusaidiana)
Tunaposema mke kumtii mme hatumaanishi mke awe mtumwa kwa mme wake,lkn kitu kimoja ambacho wanawake wanapaswa kujua ni hiki,mwanaume anafurahi sana anapoheshimiwa na mke wake.mke awe na cheo asiwe na cheo,msomi au asiyesoma ukiona humheshimu mme wako,kama hajakufukuza basi ujue kuna kitu anahofia lkn ki-ukweli hapo upendo wa dhati hakuna labda awe amelogwa.
 
Sasa kumbe unajijua wew ni bodaboda kwa akil yako unaweza oa hata wa certificate na u bodaboda wako??? Mbili umewah shuhudia harus ya mwanamke mwenye musterz na dereva bodaboda??? Tatu wanawake wasio soma skiz ndio mabingwa wakuiba waume za watu coz hawana garama na pia ni mabingwa wakugawa 0713....la mwisho niwe na degree nije olewa na wa la saba ni vitu viwil tofaut unless nikuchune tu ad ubakie na boxer yako


Hapo penye red niulize swali unampomchuna mtu,unampa wapi na unapokuwa umeolewa unampa mme wako wapi?
mbona mnazidi kuthibitisha kuwa mnapenda kuwa michepuko? binafsi nilidhani kama unamdharau mtu kwa elimu yake basi ni kimoja awe na hela asiwe nayo,siyo unamtumia gizani kisha unamwambia kesho tusijuane wakati ameishakuvua nguo,hapo una tofauti gani na wadada poa?
 
[/COLOR]Hapo penye red niulize swali unampomchuna mtu,unampa wapi na unapokuwa umeolewa unampa mme wako wapi?
mbona mnazidi kuthibitisha kuwa mnapenda kuwa michepuko? binafsi nilidhani kama unamdharau mtu kwa elimu yake basi ni kimoja awe na hela asiwe nayo,siyo unamtumia gizani kisha unamwambia kesho tusijuane wakati ameishakuvua nguo,hapo una tofauti gani na wadada poa?

We nae naona ubongo wako una kinyesi dada poa ww unaegawa nyuma ili uwe na maisha mazurii
 
Hivi kwa mfano mtu akisoma mpaka fm4 halafu akapata division Zero! huyu tutamweka kwenye kundi la darasa la saba au! Kwa sababu mtazamo wangu naona aplication zake kwenye life zinakuwa sawa na darasa la saba tu!
lla ni mtazamo wangu tu!
Back to the topic :
Ni kweli hawa wanawake wa degree na ma masters wanasumbua sana wanaletaga mashindano ndani ya ndoa, wanataka Ubeijing sana na kusahau majukumu yao kama wanawake walioolewa. So wakati fulani bora mtu uoe std 7 anakuwa na utii kidogo na heshima kwa MUME wake!
 
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....

Ukiwa na mawazo mgando kama hayo kama mimi ni mumeo nakubakisha nyumbani tu hakuna kufanya kazi, nyie ndo hadi madaftari au peni za mtoto shule unamwambia mwambie baba yako.
Sasa mlikua mnataka haki sawa ipi? Na ukae ukijua m/ume ni m/ume tu hakuna cha haki sawa ndio maana m/ume anaweza kukojoa huku kasimama na kachuchumaa jaribu ww kukojoa huku umesimama kama hujajikojolea.
 
Ukiwa na mawazo mgando kama hayo kama mimi ni mumeo nakubakisha nyumbani tu hakuna kufanya kazi, nyie ndo hadi madaftari au peni za mtoto shule unamwambia mwambie baba yako.
Sasa mlikua mnataka haki sawa ipi? Na ukae ukijua m/ume ni m/ume tu hakuna cha haki sawa ndio maana m/ume anaweza kukojoa huku kasimama na kachuchumaa jaribu ww kukojoa huku umesimama kama hujajikojolea.

Umemalizia vizuri utofauti uliopo kati ya ME na KE, nayo itabaki hadi dunia ifike mwisho
 
Back
Top Bottom