Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Humu JF wanajipa ujinga tu.
Afu wengi wao ndo wanafanya mambo ya ajabu ajabuuuu. Mwisho wa siku ndoa yaota mabawa
we mwenyewe si unaona wanavyoreply,si mke tu hata kwa michepuko hawafai
 
Nyie wote mlio upande wa mtoa mada elim zenu ni darasa la 7 na fm 4 sasa mtawawezaje wanawake wa gegree ?jueni kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yke sasa nyie vipato vyenu vyenyewe vidogo kisha eti uoe aliyekuzid elim na kipato halafu pia ujitie kidume cha mbegu kwa maana kila utakachosema jibu liwe ni ndio......waapiiiii pelekeni upuuz wenu mbele

na hilo ndio tatzo lenu.....digrii kawaloga nyie
 
Humu JF wanajipa ujinga tu.
Afu wengi wao ndo wanafanya mambo ya ajabu ajabuuuu. Mwisho wa siku ndoa yaota mabawa

Umeona enheee.. sie std 7 ngoja tuendelee kuweka vitu kibindoni maisha yanasonga.
 
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....

mbona baba ako alidai mahari ya mamilioni...tena na sikuhizi hawataki wapelekewe vitu. wanatakaga cash.
 
we mwenyewe si unaona wanavyoreply,si mke tu hata kwa michepuko hawafai

Wengi wao wanakuwa kama wajinga fulanj hivi pamoja na kusoma kwao, wao ndo wa kwanza kufanya ujinga ujinga
 
Mimi ninachosema ni kwamba; mwanamke hata awe profesa akili yake inaishia kwenye kuvuka barabara tu. Mimi nasema hivi... oeni tu hao graduate maana hawana vipya, ila kwa sharti moja tu asiajiriwe popote zaidi ya shughuli au mradi wa familia(na wanaume mnatakiwa kufanya hivyo, unaweza kufungua mradi hata wa ufugaji kuku na ng'ombe nyumbani kama ofisi ya mwanamke), wanawake wanaofanya kazi kwenye maofisi ya serikali, mashirika, makampuni na kwenye taasisi wanaishia kuliwa na mabosi au wafanyakazi wenzake.
 
Nakia ladha inakuwa na ugwadu ugwadu hivi, imekula kwetu.

Bahati mbaya sikukuolea digirii bali papuchi. Hivi ukipata kadigirii papuchi inabadili ladha? Kumbe ndo maana madogo siku hizi hawana masihara na mbuzi mee......
 
Ukiwa na mawazo mgando kama hayo kama mimi ni mumeo nakubakisha nyumbani tu hakuna kufanya kazi, nyie ndo hadi madaftari au peni za mtoto shule unamwambia mwambie baba yako.
Sasa mlikua mnataka haki sawa ipi? Na ukae ukijua m/ume ni m/ume tu hakuna cha haki sawa ndio maana m/ume anaweza kukojoa huku kasimama na kachuchumaa jaribu ww kukojoa huku umesimama kama hujajikojolea.

hahahaha vitabu vyenyewe vya dini havina haki sawa maana mwanaume atamtawala mwanamke eti haki sawa ipatikane Beijing watasubiri sana.
 
Bora uwoe std seven au form ujue matumizi ya nyumbani ni juu yako kuliko kuoa degree ukitegemea mtasaidiana maisha mwishoni hata mshahara huujui sh.ngapi na hata hachangii chochote
Umeongea point mkuu, mume ni kichwa hatukatai lakini kama umeoa mtu mwenye kipato basi msaidiane ili kufanya maisha yawe rahisi kidogo.
Nimesoma post ya Kim nana, mwanamke mwenye mtazamo kama huu ndani ya nyumba utajuta kuishi nae...!!
 
Last edited by a moderator:
Waambie @ demba na hatuachi kusoma et kisa kuolewa, wakae mbali shule kwanza, na nnavojua heshima ya mke ni tabia ya mtu co elimu wala nin, kwa hyo tuishie la 7 na 4m 4 ili mtutawale vzr.
 
mkuu kuna kitu umeshindwa kukinote ni hv siku zote:
1.kama yeye ana degree basi mwanaume lazima azidi kiwango cha degree
2.kama yeye anafanya kazi benk basi mwanaume lazima afanye kazi yenye mshahara mkubwa kuliko wake
3.kama yeye ni mzuri bas mwanaume lazima awe bonge la handsome
4.mwanaume lazima awe mrefu kuzidi mwanamke ndivyo ilivyo
na mengineyo.......

nje na hapo lolote laweza kutokea utalalamika humu mpaka basi....:A S-coffee:
 
Bora uwoe std seven au form ujue matumizi ya nyumbani ni juu yako kuliko kuoa degree ukitegemea mtasaidiana maisha mwishoni hata mshahara huujui sh.ngapi na hata hachangii chochote

Mkuu kuna walio owa darasa la saba lakini amani nyumbani hakuna kabisa!

Heshima ya mtu haitegemei elimu...wako wenye digrii zao wana heshima tu na wanaishi vizuri na waume zao.

Mara nyingi matatizo yanakuwepo kama mke amemzidi mume elimu au kipato; ila nayo kwa kiasi kikubwa inachangiwa na inferiority complex ya mwamnaume.
 
Dah mtoe mada umenikumbusha mbali mana mama mtoto wangu wakati anaenda kusoma chuo alikuja kunitupia mtoto akidai hana muda wa kukaa na mtoto wangu mana yeye anaenda kusoma Yani ni Pasua vichwa af wanataka kuapply feminism katika jamii zetu za kiafrika!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu kwa michepuko wanafaa sio uwafungie ndani unajua mpo wawili mnakwenda kazini kumbe hela yake anajenga kwao shenzyyy nikioa mke wangu hafanyi kazi hata kama ni professor

Mkuu humfungulii hata kabiashara naye akachangia kipato cha familia?!
 
We the inteligent. Hivi huko kwenye biashara unafunga Luku au! tena ana masters huko ndo kwishney kabisa atafuata mzigo Nairobi miezi miwili.
 
mwanamke akiwa na degree ni mchepuko type
hapo bosi anakula
wafanyakazi wenzie
safari za kikazi
bora akae nyumbani tu
over
MO11 kashasema
 
Last edited by a moderator:
Eti mke wangu anaingia home SAA sita usiku katoka kwenye seminar Mara kazi zilikuwa nyingi ofisini. Hii ngumu sana kumeza, tutakomaa na form 4 tu
 
Back
Top Bottom