charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 6,001
una shukrani za punda mrembo
Viol mbona hvo unanipiga vijembe...nini shidah??
una shukrani za punda mrembo
Viol mbona hvo unanipiga vijembe...nini shidah??
watu kama chancelor wa german ni mwanamke, rais wa brazil pia, watu kama hillary clinton na high profiles wengne unakuta wanaheshimu ndoa zao pamoja na elimu na vyeo vyao. Sasa bachelor au masters ndo ikufanye udharau ndoa?
haa haa kwani we una mbo.oo...haa haa haa kwi kwi kwi basi tumboo hebu ukuje pande hii kwanza..
wewe ya nyuma yenyewe unaisikia bombani...kwi kwi kwiiiiii
elimu huna
maisha yamekupausha unaishia kugombana na watu wenye elimu zao....utakufa masikini na wanawake wazuri wenyewe utaishia kuwaita shemeji tuu
hee wajifarijiii..rudi shule wewe japo upate hata ka chetii..utujiabisha mjini hadi lini? zinduka na kataaa kudhalilisha uanaume wakoha ha ha ha ha ha ha
wazee wa Zamani wasema
mwanamke hata awe na mali kiasi gani asipokuwa na mume kazi bure
hivi unajua sijawahi kukuomba hata shiling mia ?
proved
mwanamke asiyeolewa ana kisirani
ha ha ha ha ha ha
hatupo kutangaza mali kashindane na le mutuz
Hahaaa mpotezee uyo na lanne lake la zaman aendelee kujidanganya ivoivo ndoa za skiz nyingi wenye elimu anajidanganya na uskute mke wake kaishia la pili la zaman
tokea lini
hee wajifarijiii..rudi shule wewe japo upate hata ka chetii..utujiabisha mjini hadi lini? zinduka na kataaa kudhalilisha uanaume wako
sawa ndio inayotuweka mjini hapa
vip nimekuoa wewe ?
Una madharau balaa we jikeSasa kumbe unajijua wew ni bodaboda kwa akil yako unaweza oa hata wa certificate na u bodaboda wako??? Mbili umewah shuhudia harus ya mwanamke mwenye musterz na dereva bodaboda??? Tatu wanawake wasio soma skiz ndio mabingwa wakuiba waume za watu coz hawana garama na pia ni mabingwa wakugawa 0713....la mwisho niwe na degree nije olewa na wa la saba ni vitu viwil tofaut unless nikuchune tu ad ubakie na boxer yako
mijinaume inayolalamika hovyo imepoteza sifa ya uanaume...shame on them
Sasa kumbe unajijua wew ni bodaboda kwa akil yako unaweza oa hata wa certificate na u bodaboda wako??? Mbili umewah shuhudia harus ya mwanamke mwenye musterz na dereva bodaboda??? Tatu wanawake wasio soma skiz ndio mabingwa wakuiba waume za watu coz hawana garama na pia ni mabingwa wakugawa 0713....la mwisho niwe na degree nije olewa na wa la saba ni vitu viwil tofaut unless nikuchune tu ad ubakie na boxer yako