Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Umeshinda ww,but Jifunze kauli nzuri dada umri unakutupa mkono ohoo we haya tu

kuna story hapa jamvini wanawake wasioolewa wana stress sana ndio maana anaharisha hapa umri umeenda kila siku kuhudhuria harusi za wenzie yeye haolewi pesa hazileti watoto wala mume ha ha ha ha ha ha
 
Atalitambua hilo mpaka cku atakapoona makunyanzi usoni

Someni wadada.im sure hata nyie hamjaona mme..kwa lipi hasa?kwenye maisha ni muhimu kuhakikisha hukosi vyote.soma mpaka uwezapo,kama Mungu amukuandikia ndoa tena yenye amani upendo na furaha utaipata tu.
 
mwisho wa siku unaolewa tu,ndo kujivunia kwako
 
Someni wadada.im sure hata nyie hamjaona mme..kwa lipi hasa?kwenye maisha ni muhimu kuhakikisha hukosi vyote.soma mpaka uwezapo,kama Mungu amukuandikia ndoa tena yenye amani upendo na furaha utaipata tu.

ajikwezae atashushwa ajishushae atakwezwa
hawa wakishapata degree za chupi wanaringa wao ndio wao wamesahau ndoa haziitaji mbwembwe ndio maana wanaoolewa ni wale wanaojishusha
 
Umeshinda ww,but Jifunze kauli nzuri dada umri unakutupa mkono ohoo we haya tu
hee hee hee hee nawe uanze kua act kiume japo kidogo mweee!! sasa hata kama unaliwa ndo unataka kila mtu ajuwe? wenzio wanafanya kisiri
 
tatizo mnatoa ndogo ili muolewe mi sioi anayetoa ndogo
 
Atalitambua hilo mpaka cku atakapoona makunyanzi usoni
kuna story hapa jamvini wanawake wasioolewa wana stress sana ndio maana anaharisha hapa umri umeenda kila siku kuhudhuria harusi za wenzie yeye haolewi pesa hazileti watoto wala mume ha ha ha ha ha ha
 
we wa kwako kashakushughulikia eeeh? au uko on heat? maana dalili zinaonyesha una hamu....
acha hasira au kuna ukweli mmeo mvaa tai na yupo chekechea?
 
una mawazo mgando wewe.....bas mwanao wa kike usimpeleke shule ili aolewe.....
 
Back
Top Bottom