Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Ha ha ha eti videgree unafikiri mchezo unafikiri yale ni makalio kila mtu akawa nayo mwenyewe ka huna katafte tatizo lenu mnapenda kunyenyekewa tena sa hivi ni degree ya pili sasa hamna cha kusoma maili ngapi pole sana na standard seven yako wa big result now

Navifahamu hvo vi degree mama.by the way usinifikirie mm wa jana, npo ktambo tu chni ya jua. Nshafanya yangu kiasi ,so naongeza maujuz kwa watu huku. Nkirud nitakutafuta nione makunyanzi yako!
 
Ha ha ha eti videgree unafikiri mchezo unafikiri yale ni makalio kila mtu akawa nayo mwenyewe ka huna katafte tatizo lenu mnapenda kunyenyekewa tena sa hivi ni degree ya pili sasa hamna cha kusoma maili ngapi pole sana na standard seven yako wa big result now

Je hilo la gari kuchoma miles kadhaa mbona hujajibu? Maana mmmh vyuon huko watu wanajitafunia sana tu.
 
Je hilo la gari kuchoma miles kadhaa mbona hujajibu? Maana mmmh vyuon huko watu wanajitafunia sana tu.

magari yanachoma miles kama dcm la mbagala mwenge
ha ha ha ha
 
Mmmh! Mbona hii mada imechangamkiwa sana? Inaonekana imewagusa wengi mpaka kunako? Bac kutakuwa na ukweli kwenye hizi allegations kwamba wasomi ni pasua kichwa...
 
Wacha tu niwe msomaji wa hii thread ni wanawake wachache sana wenye akili za Kansela wa Ujerumani Angel Makel ambaye haendi ofisini mpaka ahakikishe amemuandalia mume wake breakfast licha ya kwamba servant wapo.
Iringa kuna mama mmoja mika ya themanini alipata cheo serikalini akajeuka Simba alikuwa anampiga mumewe balaa na matusi na kumdhalilisha,hao ndio wanawake wasomi,

tusiende mbali angalia hata kwa viongozi wetu wa kike
kina mama
mnawaonaje
wana ndoa?

wakishikwa na wivu na hasira wanakimbilia kupandikiza chuki kwa wasichana kwa kisingizio cha gender blah blah
ili wapate kundi la waombolezaji wenzao

Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....

aliekuoa wewe ni boya, au kama c boya basi ana michepuko ya kutosha na hana mpango naww kwako ni kama anapunguziaga nyege cku mojamoja tu
 
Huniwezi kwani unanibeba kichwani? ...kwanza hata sina degree zile zote fix....!
Nifikirie bwana...
hebu tuchepuke kwanza nione kama unafaa,teh teh
 
Mmmh! Mbona hii mada imechangamkiwa sana? Inaonekana imewagusa wengi mpaka kunako? Bac kutakuwa na ukweli kwenye hizi allegations kwamba wasomi ni pasua kichwa...

Kweli kweli. Yaani imeanzishwa jana saa 1457, sasa ina comments 600. Imegusa wengi sana.
 
Yaani bora nioe form 4 nimfungulie mifugo kama kuku,ngombe najua kupitia yeye anaweza kuchangia hata misosi home.kuliko huyu degree holder baada kula Asset ya familia anakuwa long term liability

hahahahha ni kweli mkuu huwa wanageuka long term liability
 
mwanaume wa ukweli haogopi kuoa mwanamke mwenye degree

Kumbe mleta mada ni mwoga?

Hahahaha kiukweli mwanamke ukishamlaza kitandani vizuri wala hakumbuki kasoma chuo gani na anamiliki digrii ya nini. Mshahara unawekwa mezani mnapanga majukumu kwa pamoja. Tunachokosea wanaume ni kutojua mwanamke anataka nini..... baaasi.
 
Back
Top Bottom