Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

haa haa kwani we una mbo.oo...haa haa haa kwi kwi kwi basi tumboo hebu ukuje pande hii kwanza..

bogus reply
degree yako ya chupi huko.....!!
hakuna msaada hapa
shenzyyy
 
Last edited by a moderator:
ndio maana wanawake wanaambiwa wana degree za chupi.

shenzyyy kutukana wanaume tu ndio maana ni michepuko ya kudumu

kuvurugwa kubayaaaa....siku ya mtu ishaharibika hapa
 
Mtasugua sana gaga
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....
 
Mamy tumekumisije kwenye kijiwe chetu....

Na dhumuni la mchepuko ni kuondoa stress njia kuu.....sasa mchepuko una degree na yeye degree zamsumbua sasa sijui anafwata nini uko.....kha
Afu wewe....

Ndo ukome na kiherehere chako cha kusoma kwa bidii.
 
kuvurugwa kubayaaaa....siku ya mtu ishaharibika hapa

kweli bweg.e yaani wewe ndio uniharibie siku hizi?
kwanza sijawahi kuharibiwa siku
we stress zako za kutokuolewa unaniletea mimi
utabaki kuwa mchepuko
 
haa haa kwani we una mbo.oo...haa haa haa kwi kwi kwi basi tumboo hebu ukuje pande hii kwanza..

Duh.... huyu ni yule demba nimjuaye au nimsubiri mwingine??
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe....

Ndo ukome na kiherehere chako cha kusoma kwa bidii.

Hahaha sasa ningekoma tungejuana odm.....elimu imenifanya nikujue.....sasa hapa nataka nikafanye masters mana kadegree hakanitoshi......
 
Unamume au bi harusi mtarajiwa miaka nennda rud?et nimuoe dem mwenye maneno mbovu kaa huyu!ptuu
sasa we mwenyewe umeishia la pili A!wa degree utamuweza wapi???? hebu muwe mnachukua mnaofanana nao msituletee shombo hapa
 
Hahaha sasa ningekoma tungejuana odm.....elimu imenifanya nikujue.....sasa hapa nataka nikafanye masters mana kadegree hakanitoshi......

Hahaha naona unamkimbia mume mchana kweupe. Haka ka bibi yako sijui nikanyang'anye kadigrii kake??
 
Kama ndivyo, inabidi amwache mtoto apate mfano mzuri kwa mama yake!

Hawezi.hata kidogo maana anajua umuhimu wa elimu......na ukute ana mpango wa kumsomesha hata mkewe zaidi..........
 
Unamume au bi harusi mtarajiwa miaka nennda rud?et nimuoe dem mwenye maneno mbovu kaa huyu!ptuu

sasa ni nani atakaye taka kuolewa na kivulana empty headed ka wewe....unatitia kinyaaaa...mchweeee!!!!
 
Unamume au bi harusi mtarajiwa miaka nennda rud?et nimuoe dem mwenye maneno mbovu kaa huyu!ptuu

mkuu hili linatukana kama mishangingi ya magomeni eti ndio wife material labda ya bia hizi ni michepuko material
 
Back
Top Bottom