Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Nyie wote mlio upande wa mtoa mada elim zenu ni darasa la 7 na fm 4 sasa mtawawezaje wanawake wa gegree ?jueni kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yke sasa nyie vipato vyenu vyenyewe vidogo kisha eti uoe aliyekuzid elim na kipato halafu pia ujitie kidume cha mbegu kwa maana kila utakachosema jibu liwe ni ndio......waapiiiii pelekeni upuuz wenu mbele

Gegree ndio nini?
 
Hii ligi humu ndani inakuwa ndefu sababu wengi bado hawajaolewa na hawataolewa pia.
 
Mtu anaposema kwamba mtu aliyesoma anakuwa na upeo mkubwa anakosea, upeo sio shule
kwani hakuna chuo kinachomfundisha mtu elimu ktk ujumla wake, ndio maana ukimchukua mchumi ukampeleka kwenye sheria atakuwa mjinga, hivyo shule haiwezi kuwa kigezo cha kuoa/kuolewa kwa kisingizio cha upeo ila ambalo wanaume tunalihofia ni kusalitiwa na mke anayefanya kaz tu sio elimu yake.
Mimi hata mwanamke akiwa na PhD haina shida sharti asifanye kazi popote, maofisin si salama funguen biashara wake zenu wazisimamie.
 
hivi utaniacha kisa nilikula mshimba kweli?

Bahati mbaya sikukuolea digirii bali papuchi. Hivi ukipata kadigirii papuchi inabadili ladha? Kumbe ndo maana madogo siku hizi hawana masihara na mbuzi mee......
 
Hivi kwa mfano mtu akisoma mpaka fm4 halafu akapata division Zero! huyu tutamweka kwenye kundi la darasa la saba au! Kwa sababu mtazamo wangu naona aplication zake kwenye life zinakuwa sawa na darasa la saba tu!
lla ni mtazamo wangu tu!
Back to the topic :
Ni kweli hawa wanawake wa degree na ma masters wanasumbua sana wanaletaga mashindano ndani ya ndoa, wanataka Ubeijing sana na kusahau majukumu yao kama wanawake walioolewa. So wakati fulani bora mtu uoe std 7 anakuwa na utii kidogo na heshima kwa MUME wake!
mkuu wote sawa ila wa form 4 anaweza akajieleza labda au kushika hata mouse ya computer,wengine wanafeli kwa kupanic
 
tatizo hawafai kuolewa,labda wabandike degree ukutani

Humu JF wanajipa ujinga tu.
Afu wengi wao ndo wanafanya mambo ya ajabu ajabuuuu. Mwisho wa siku ndoa yaota mabawa
 
Back
Top Bottom