TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,827
- 2,027
kweli kwa kuwa hadhi yako ni mchepuko
Jidanganye mchepuko mwenzio umri bado nkijiskia kuolewa hata leo kwan wanaojigongagonga ni weng tu ila si mabodaboda ka weye
kweli kwa kuwa hadhi yako ni mchepuko
Jidanganye mchepuko mwenzio umri bado nkijiskia kuolewa hata leo kwan wanaojigongagonga ni weng tu ila si mabodaboda ka weye
wanajigongagonga au wanataka mbunye warudi kwa wake zao ha ha ha ha
demba...heee heee unalo bibi we! bora mie mwanamke na degree yangu kuliko we mwanaume na tigo yako haina rinda..shutuuu
Jidanganye mchepuko mwenzio umri bado nkijiskia kuolewa hata leo kwan wanaojigongagonga ni weng tu ila si mabodaboda ka weye
Kwa comment hii nimekubali kuwa wanawake wengi hamjitambui.Yan unajamini kabisa kwakusema kuwa hata leo ukiamua unaolewa eti kisa wanajigongagonga!Kwa akili hii ni halali kwenu kutumiwa na hatimae kuzeekea nyumban
We na ww naona makalio yameamia kichwan kwako.....nyie ndio mnaosifika mtaani kwa kuiba vi house girl vya watu nyambafuu weee
Kuna watu wana roho mbaya jamani...yani kusoma nisome mie, stress za boom nipate mie, Sup nipambane nazo mie, Carry over niepuke mie, Discontinuity niiepuke mie....degree yangu mwenyewe halafu wivu uone wewe....
Si majanga hayo....
Halafu ili kunifanya niwe down unakuja na maneno yako....eti oooh wenye degree hawaolewi....!
Tutaolewa sana na degree zetu....tena tutaolewa na wanaume wanaojiamini sio kama wewe mwanaume ndevuuu.....
"Mwanamke mzuri bila elimu sawa na kipini kwenye pua ya nguruwe" by Bonta....
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .
Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.
Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.
demba...
kuna mambo mengine zaidi ya kuspread legs.... acha mawazo mgando..