Chakulagani
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 271
- 51
Mie nimeishia form two D lakini mpaka leo sijaolewa.So kuolewa ni zaidi ya unachofikiria wewe
Una matatizo ahahahahaaa
Mie nimeishia form two D lakini mpaka leo sijaolewa.So kuolewa ni zaidi ya unachofikiria wewe
Una matatizo ahahahahaaa
hamna kitu,wanawake wenye degree au zaidi hovyo,na ndo watoa tigo
mie huku nilipo saizi ni saa saba mchana haa haa.....(joking)
JT 2014,MO11 Nawaunga mkono 100%
kelele kibao za nn??Wanawake wa digrii wwngi wao n janga la kitaifa nasisiriza sio WOTE lakini kwakiwango kikubwa ukitaka aman ktk nyumba u have to marry a standard 7/form 4,wanaume wanahitaji Aman zaidi haina maana wanawake hawahitaji la hasha!!bali wengi wenye digrii hawafai kuoa mara kaliwa na bosi mara mchepuko mara tamaa za hovyo khaaa!!mambo ya sapu,carry yananihusu nn mimi ndani wa ndoa??Utter nonsence!!
Ukioa hao uliowataja ujue umeoa hot-pot na chupa ya chai.maana kila siku utakuta hot pot na ujumbe juu
''baby nimewahi kwenye washa''
mara chai kwenye thermos.Habari ya kuandaliwa msosi na mke unasahau.
Ukiwa na mke wa aina hii jifunze kupiga busu hot pot.
Maneno mengi ila ukweli ndio huo mwanamke aliye soma ni shidaaaaaah
VIOL: wenzio wanaokuja hapa na kuweka sifa za mtu anayetaka kumuoa na elimu ikizingatiwa huwa huon? hebu wa PM waulize kwa nini kigezo cha elimu anakizingatia, tabia ya mtu ni tabia yake tu, kuna wanawake wasomi wanajishusha kwa wenza wao ha raha, kama ulimtafuta msomi kabumbuluka kwasababu umegeuka tegemezi kwake unategemea atakuheshimu kweli..? maisha ni kusaidiana.
Mwanamke nisaidiz tu kwako tena pale utakapokwama na sio lazma akusaidie, maandiko yanasema ADAMU UTAKULA KWA JASHO na HAWA (EVA) UTAZAA LWA UCHUNGU, kazi yake ni kuzaa nawewe ni kuhakikisha amepata mahitaji yote
kusoma kwa mwanamke ni kulingana na maisha ya sasa kwamba ikitokea mwenzangu akatangulia itakuwaje ndo maana wanawake sasa wanapenda kujishughulisha, sasa wanaume umegeuka mchezo kwamba akuzalie na akulishe..! tobaaaaaaa
mfano?
sema mkeo usiwachanganye wote..humu wanaume wa ukweli kibao wake zao wasomi na wanaheshimiana
mimi wa darasa la saba na form 4 nn kuoa hata kuongea nae tu siwez zaid ya salam tu mana naona hata mitazamo tupo tofauti kwanza wanakuaga na uswahil mwngi sana. wengine ndio tunawapenda hao wnye degree zao. darasa la saba na form 4 wataolewa na walokataa shule wenzao na vinuka mkojo wenzao mana ndio wanaendana nao. kla mtu na chaguo lake. nani anataka kuzaa watoto vilaza! kilaza na kilaza mwenzie hata vitabu vya dini vimesema hvyo 😛uke:
Jamani sio wote.
Inategemeana na mtu mwenyewe tabia zake zipo vipi.
inferiority complex!!!!!.... hayo ni maneno tu ya mitandaoni, wengi wenu ndo wanakimbilia haohao wasomi wenye kazi za maana .....wewe kama wasomi wamekushinda usigeneralize vitu, acha wenye kujua maana ya hao wasomi waoe.
Halafu hao la saba huwa hawajiamini, since anakutegemea kila kitu anajua ukinuna ye atalala na njaaa....jiandae kulishwa limbwata la kila rangiiiii
pumbafu zako ulitaka akajenge kwenu.
upeo wa mwanamke wa darasa la saba/4m4 hauwezi kulingana na aliefika degree wanaume semeni mnaogopa challenge tu